Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
hiz trap zikogo facebookUna ajenda gani za siri?
Mishangazi iyo ya kikeKomeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito
Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa mchezi na si mnene. Mchangamfu sana na anajichanganya na kila mtu. Nlitamani nipate naye siku nzima tuongee nimsome pia live kama navyomfikiria yupo hivyo.
MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.
Mshana Jr - sijawahi mwona akigombana na mtu. Huwa anapenda kuanzisha nyuzi nyingi tu anawaachia muamue kusoma au kutosoma. Na akijibiwa vibaya ananyamaza.
Chizi Maarifa - mbabe, mkorofi, ana penda ugomvi atakuwa na makovu mengi sana mwilini, anaweza akawa anatokea kigoma, mara au arusha.
Ma Mshuza - atakuwa na liumbo la kuvutia, mshali na mwenye maneno mengi. Lijishangazi nadhani la miaka above 40
Nahitaji hawa watu nionane nao mmoja mmoja niongee nao kwa mwaliko wa Lunch eneo Mlimani City au Mikocheni sehemu ambayo tutapata nafasi nzuri ya kuongea kwa utulivu tukila.
๐๐๐๐๐๐ hapo kwa chizi maarifa....Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito
Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa mchezi na si mnene. Mchangamfu sana na anajichanganya na kila mtu. Nlitamani nipate naye siku nzima tuongee nimsome pia live kama navyomfikiria yupo hivyo.
MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.
Mshana Jr - sijawahi mwona akigombana na mtu. Huwa anapenda kuanzisha nyuzi nyingi tu anawaachia muamue kusoma au kutosoma. Na akijibiwa vibaya ananyamaza.
Chizi Maarifa - mbabe, mkorofi, ana penda ugomvi atakuwa na makovu mengi sana mwilini, anaweza akawa anatokea kigoma, mara au arusha.
Ma Mshuza - atakuwa na liumbo la kuvutia, mshali na mwenye maneno mengi. Lijishangazi nadhani la miaka above 40
Nahitaji hawa watu nionane nao mmoja mmoja niongee nao kwa mwaliko wa Lunch eneo Mlimani City au Mikocheni sehemu ambayo tutapata nafasi nzuri ya kuongea kwa utulivu tukila.
dah hatari sanahiz trap zikogo facebook
Ndo raha ya dunia...kila kitu kipo au hautupendi mishangazi sie??.๐๐Mishangazi iyo ya kike
Nilikamatwaga kiboya coco beach 2014 mwezi 12, na trap km hiz huko facebookdah hatari sana
ilikuaje kwani mkuu?Nilikamatwaga kiboya coco beach 2014 mwezi 12, na trap km hiz huko facebook
Wa kwetu kuna nini hapa๐Mkuu Minjingu Jingu waite hawa wananijua inn and out ma mkwe@redio
Na mamsapu Its Pancho
๐๐๐๐๐๐
Wa kwetu min -me
Naomba mimi nikutafute,ni kweli dunia haiko fair ila wapo watu ambao ni fairLicha ya watu wengi kuhitaji kuonana na Mimi lakini sijawahi kufikiria kuonana na mtu wa mtandaoni Dunia haiko fair
Mkuu, me si mzuri kwenye kuandika.. Ila ngoja nijitahd kidgo kukupa picha.ilikuaje kwani mkuu?
๐๐๐๐tunatafutwa na mtoa mada ana hamu ya kunifahamu...Wa kwetu kuna nini hapa๐
Angejua ni pisi moja matata miguuya bia shep la kibantu angepagawa kabisa๐๐๐๐๐tunatafutwa