Nimekot kicheko chako ππMbona umeji
Niko sfrn bestie...haya bana nakuona huna baya kabisa....Nipo gudo bestie! Acha niburudike na jf kidogo.
Ndo umetoka job?
Yes dear. Safari njema dear Asante kwa kunijulia hali π€Niko sfrn bestie...haya bana nakuona huna baya kabisa....
Okey my dear asante sana...πYes dear. Safari njema dear Asante kwa kunijulia hali π€
Take care ππ
Hadhi yangu ya sasa siyo ya kuonana na Mpumbavu (Popoma) na Mjinga (Ngumbaru) tukuka kama Wewe na Yeye Okay?Hujawaza kuonana na huyu member uchwara, charismatic fella GENTAMYCINE
Mkuu' kuna wakati napenda nionege reaction zako... Kwasababu nataka nijifunze uzee wangu utakavyo kuwa kama ilivyo wa kwakoHadhi yangu ya sasa siyo ya kuonana na Mpumbavu (Popoma) na Mjinga (Ngumbaru) tukuka kama Wewe na Yeye Oky?
Naona yupo likizo....hahahaππHuyo chizi maarifa akiuona uzi huu atatukana sana... huyo mwamba anapenda beef kuliko hata hela
Bantu LadyNiombee appointmentβ¦ kesho tu mida ya Alasiri nipo pale π
Ana bahati mbaya nimestaafu kila kitu ππππ
Njema kabisa...wape salaam wagonjwa...ππNip ndugu yangu , za wewe
Wagonjwa wa wapi tenaπ€£π€£π€£Njema kabisa...wape salaam wagonjwa...ππ
Ahaha bana weee nikasema niingie kazini chapuuu..ππππ€£Ana bahati mbaya nimestaafu kila kitu ππππ
Wa kazini kwako alaaa...ππππWagonjwa wa wapi tenaπ€£π€£π€£
ππ labda waleviWa kazini kwako alaaa...ππππ