Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo



Una shape kali? Una msambwanda? Kama upo unavutia naweza kuja Bongo mwezi ujao nitakuambia nimefikia hotel gani uje. Utume picha yako kwanza nikuone umbo na sura yako kama una vutia au ndo wale mademu sura kama wanakamuliwa jipu matakoni. Umbo uwe nalo nasisitiza.
 
Daah we una shida. Uligongwa kichwani ukiwa mdogo? Mimi ni mwanaume rijali kabisa. We umeona sehemu nmeandika mi mwanamke? Unataka ugomvi kwangu hutopata. Jifunze kuishi vizuri na watu.
 
Daah we una shida. Uligongwa kichwani ukiwa mdogo? Mimi ni mwanaume rijali kabisa. We umeona sehemu nmeandika mi mwanamke? Unataka ugomvi kwangu hutopata. Jifunze kuishi vizuri na watu.

Mi naishi vizuri sana na watu ndo maana nipo nje ya nchi wewe upo huko Madongo kuinama. Kama wewe ni mwanaume sitaki kuonana nawe. Mi naonana na mademu wakali tu. Basi.
 
Unaona unajipia promo kwa akauti yako nyingine
 
Mtekaji tumekushtukia.
 
Red black Mkuu, sikuweza kuchomoka, nlitaitiwa nikachezea kichapo kwanza.. Bdae wakataka ule mzgo wao,na me nlikuw nimetumia hela, kale kadude nlikaachaga yombo kwa mwanangu fulan..
Ikabid niwapeleke kufika kule naambiwa mchiz aliuguaga mwez mmoja nyuma,amerudishwa kwao mtwara na chumba kimepangishwa..

Alooh..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…