Msaada: Nini Sababu ya Gari Kuwa na Vibrations Kubwa Ikifika Speed 50+

Msaada: Nini Sababu ya Gari Kuwa na Vibrations Kubwa Ikifika Speed 50+

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Tafadhali wataalamu, nini inaweza kuwa sababu ya gari kuwa na mtikisiko mkubwa inapofikia speed 50 na kuendelea, mtikisiko huo unaambatana na mvumo fulani usiojulikana unatoka wapi, mafundi zaidi ya wanne kwa nyakati tofauti na garage tofauti ikiwepo Kinondoni na Ilala wamediagnos na kukosa kujua sababu

Aliyewahi kukutana na changamoto hii tusaidiane alirekebisha nini na wapi sipendi trial and error wanazofanya mafundi wanafungua parts kila sehemu na zingine wakirudishia zinakuwa na dosari
 
Kwa kufuata mpangilio, cheki

Wheel bearing, tairi kuvimba, wheel balance, steering rack na vikorokoro vyake
 
Back
Top Bottom