Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Tafadhali wataalamu, nini inaweza kuwa sababu ya gari kuwa na mtikisiko mkubwa inapofikia speed 50 na kuendelea, mtikisiko huo unaambatana na mvumo fulani usiojulikana unatoka wapi, mafundi zaidi ya wanne kwa nyakati tofauti na garage tofauti ikiwepo Kinondoni na Ilala wamediagnos na kukosa kujua sababu
Aliyewahi kukutana na changamoto hii tusaidiane alirekebisha nini na wapi sipendi trial and error wanazofanya mafundi wanafungua parts kila sehemu na zingine wakirudishia zinakuwa na dosari
Aliyewahi kukutana na changamoto hii tusaidiane alirekebisha nini na wapi sipendi trial and error wanazofanya mafundi wanafungua parts kila sehemu na zingine wakirudishia zinakuwa na dosari