Msaada Nissan xtrail inajizima sana

a
Matatizo yanaweza kuwa mengi lakini kwa haraka haraka! k

angalia mfumo wa mafuta kwenye gari yako, kwa kiasi kikubwa hili linaweza kuwa chanzo. Anza na pump, kisha pipes na uchomaji wa mafuta. Kuna uwezekano mkubwa kuna muda mafuta hayafiki au yanafika kiasi kidogo so gari linazima, ukiwasha linawaka.

lakini pia nashauri uweke maelezo zaidi ili kujua
1. je gari unavyoendesha linakuwa lina-mis?
2.. gari ukisimama inatetemeke?
3. Je inazima ukiwa katikati ya safari au ukiwa umeweka N/P?
 
Ikiwa katikati ya safar
 
Hii gari yako itakuwa ina shida zaidi ya 1 cha msingi tafuta fundi mzuri kama JituMirabaMinne, master magari ila hela lazima zikutoke hapo
 
Inazima ghafla au inaanza kumisi ndio inazima!?
 
Kuna jamaa katika kuoshwa, engine iliingia maji ndio tatizo kama hilo likaanza

Subiri boda boda wa JF wapaki, watakuja kuharibu huu uzi, hawa watu akili zao ni Mabisi,
Wanadhani kila mtu mpiga kiki
Kwani boda boda tumekukosea nini mkuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Peleka wakufanyie diagnosis na mashine
 
Safii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ