Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatizo yanaweza kuwa mengi lakini kwa haraka haraka! kWakuu poleni na majukumu,
Naomba msaada wenu Gar yangu imekua na Tatizo la kuzima ninapokua naendesha na huwasha taa za check engine, taa ya gear box, handbreak na kadhalika lakini ikijizima naisha hapo hapo na inawaka bila shida naendelea na safari mpaka itakapo jizima tena.
Kwahiyo nilikua naomba kwa mwenye uelewa anisaidie mana nataka nilijue tatizo kabla sijaenda kwa fundi kuogopa kupigwa hela nyingi maana uchumi wenyewe kama mnavyoujua
Hii gari ndiyo niliyoanza nayo maisha na nilinunua kwa mtu kwa changamoto zake mpaka nguvu za kiume niliishiwa niliamua kuichinja tu
Ikiwa katikati ya safara
Matatizo yanaweza kuwa mengi lakini kwa haraka haraka! k
angalia mfumo wa mafuta kwenye gari yako, kwa kiasi kikubwa hili linaweza kuwa chanzo. Anza na pump, kisha pipes na uchomaji wa mafuta. Kuna uwezekano mkubwa kuna muda mafuta hayafiki au yanafika kiasi kidogo so gari linazima, ukiwasha linawaka.
lakini pia nashauri uweke maelezo zaidi ili kujua
1. je gari unavyoendesha linakuwa lina-mis?
2.. gari ukisimama inatetemeke?
3. Je inazima ukiwa katikati ya safari au ukiwa umeweka N/P?
Hii gari yako itakuwa ina shida zaidi ya 1 cha msingi tafuta fundi mzuri kama JituMirabaMinne, master magari ila hela lazima zikutoke hapoWakuu poleni na majukumu,
Naomba msaada wenu Gar yangu imekua na Tatizo la kuzima ninapokua naendesha na huwasha taa za check engine, taa ya gear box, handbreak na kadhalika lakini ikijizima naisha hapo hapo na inawaka bila shida naendelea na safari mpaka itakapo jizima tena.
Kwahiyo nilikua naomba kwa mwenye uelewa anisaidie mana nataka nilijue tatizo kabla sijaenda kwa fundi kuogopa kupigwa hela nyingi maana uchumi wenyewe kama mnavyoujua
Kuna uwezekanao mkubwa mfumo wa mafuta ndio una shida mkuu.Ikiwa katikati ya safar
Inazima ghafla au inaanza kumisi ndio inazima!?Wakuu poleni na majukumu,
Naomba msaada wenu Gar yangu imekua na Tatizo la kuzima ninapokua naendesha na huwasha taa za check engine, taa ya gear box, handbreak na kadhalika lakini ikijizima naisha hapo hapo na inawaka bila shida naendelea na safari mpaka itakapo jizima tena.
Kwahiyo nilikua naomba kwa mwenye uelewa anisaidie mana nataka nilijue tatizo kabla sijaenda kwa fundi kuogopa kupigwa hela nyingi maana uchumi wenyewe kama mnavyoujua
Ni sensor gani mkuu?Habari wakuu napenda nitoe update ya Gar yangu juu ya shida ya kujizima shida ilikua sensa nimerekebisha ilo na gar iko sawa asanten
Sensa ya milango ilikuwa inaliingilia gari linapokuwa speed na kulizima.ni sensor gani mkuu?
Hizi gari zenye madude makubwa juu ya roof huwa ni sumbufu sana. Anyway, wajuzi watakuja kukusaidia.
Kwani boda boda tumekukosea nini mkuu😂😂😂😂Kuna jamaa katika kuoshwa, engine iliingia maji ndio tatizo kama hilo likaanza
Subiri boda boda wa JF wapaki, watakuja kuharibu huu uzi, hawa watu akili zao ni Mabisi,
Wanadhani kila mtu mpiga kiki
Peleka wakufanyie diagnosis na mashineWakuu poleni na majukumu,
Naomba msaada wenu Gar yangu imekua na Tatizo la kuzima ninapokua naendesha na huwasha taa za check engine, taa ya gear box, handbreak na kadhalika lakini ikijizima naisha hapo hapo na inawaka bila shida naendelea na safari mpaka itakapo jizima tena.
Kwahiyo nilikua naomba kwa mwenye uelewa anisaidie mana nataka nilijue tatizo kabla sijaenda kwa fundi kuogopa kupigwa hela nyingi maana uchumi wenyewe kama mnavyoujua
SafiiWakuu poleni na majukumu,
Naomba msaada wenu Gari yangu imekuwa na Tatizo la kuzima ninapokuwa naendesha na huwasha taa za check engine, taa ya gear box, handbreak na kadhalika lakini ikijizima naisha hapo hapo na inawaka bila shida naendelea na safari mpaka itakapojizima tena.
Kwahiyo nilikuwa naomba kwa mwenye uelewa anisaidie maana nataka nilijue tatizo kabla sijaenda kwa fundi kuogopa kupigwa hela nyingi maana uchumi wenyewe kama mnavyoujua.