Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

We kaa nae jikoni mue mnapika msosi tu mambo ya kitandani acha kwnz tutaweza kukusaidia cc wajomba zake
 
hahaha ht mie nna twins wa nje sema wamekuwa sasa 7,5yrs ! ila wanakimo sawa !inachosha hatar !nipo makini !mie kaenda siwez tumia kwanza mume mlev hiyo kalenda unamletea nan !lol !najiwahi na 72hrs zipo za kutosha !
 
Jaman naombeni mnisidie hapa
Mwanamke anapojifungua huwa anaanza kupata hedh baada ya muda?

inategemeana na ntu na ntu wengine 6mths ,wengine 2yrs wakiachisha wanaanza period !mie mwezi mmoja tu jaman !kha
 
Mpeleke Madale halafu shetani atokee, utapata majibu.
 
Sasa unatumia njia gani ili kuepuka siku za hatari?
 
Dalili ni chuchu zake tu.
Zikianza kuvimba vi chuchu tu SIO maziwa.
Ujue safari ya kwenda mwezini imekaribia
Mkuu kama upo nje mada vile, post yangu inahusiana na siku za hatari kupata mimba, siyo hedhi mkuu.
 
Chukua first day of her last menistruation then count fourteen days. Hiyo siku ya 14 ndio kuna red indicator usiguse kabisa. For precaution usido from day 11.
Mkuu wewe ndo umenipa jibu sahihi, thanks, lakini kitu kinachonikanganya, kwani unacount siku 14 baada ya menistruation au siku ile tu anapoingia hedhi?
 
Nimefungua kwa fujo nkajua kuna siku watu wasiojulikana watakuja kumbe menstrual cycle ..title hizo tunatishiana bwana!
Hahaaa mwenyewe nilishani wife wake huwa anamtishia kisu au sumu akiwa kwene mwezi mchanga kumbe story tofauti
 
Mkuu wewe ndo umenipa jibu sahihi, thanks, lakini kitu kinachonikanganya, kwani unacount siku 14 baada ya menistruation au siku ile tu anapoingia hedhi?
Tena huyo ndio kakupoteza zaidi kila mwanamke ana mzunguko wake
Ovulation hutendeka ndani ya saa 48
Na shawaha zina uwezo wa kudumu ukeni hadi siku 5
Huwezi kujua siku za hatari za mwanamke bila kufahamu mzunguko wake ni wa siku ngapi
 
Mkuu kama upo nje mada vile, post yangu inahusiana na siku za hatari kupata mimba, siyo hedhi mkuu.
Toka siku anamaliza ahesabu siku 10 mbele,hapo chezeni kadri muwezavyo..but kuanzia ya 11 tumieni condom au vita subira. Then aweke rekodi,anaweza download app calendar kama ulivyoambiwa post za nyuma. Lakini ni vizuri aanze kuanzika kwa mkoono somewhere baada ya miezi fulani ahesabu distance ya tar kati ya mwenzi mmoja na uliofuata na unaofuata,hapo atajua siku zake zinarudi nyuma kwa siku ngapi. Mfano mimi kama mara ya mwisho tar 18 basi siku 5 nyuma na siku ya sita naingia kazini,mwezi utakaofuata.
 
hahaha ht mie nna twins wa nje sema wamekuwa sasa 7,5yrs ! ila wanakimo sawa !inachosha hatar !nipo makini !mie kaenda siwez tumia kwanza mume mlev hiyo kalenda unamletea nan !lol !najiwahi na 72hrs zipo za kutosha !
[emoji1] [emoji1] [emoji1] haya Dear wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…