usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,898
We kaa nae jikoni mue mnapika msosi tu mambo ya kitandani acha kwnz tutaweza kukusaidia cc wajomba zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalie usituzalie kijiji ndugu yangu ,njia rahisi ya uzazi wa mpango kwa wenye ndoa ni hiyo ya kalenda japo inahitaji mwanaume muelewa sana na anayekusikiliza vinginevyo ni kazi bure, binafsi naitumia sana japo kwa mtoto wangu huyu wa sasa niliishindwa mambo yalibana balaa matokeo yake nna mapacha wa nje na ulezi wake utajutia ulichokifanya na kusema si ungesubiri tu
Jaman naombeni mnisidie hapa
Mwanamke anapojifungua huwa anaanza kupata hedh baada ya muda?
Sasa unatumia njia gani ili kuepuka siku za hatari?hahaha hakuna kitu ambacho nilishashindwa km hayo makitu jaman ! mie hazibadiliki hata kidg ila sasa nahesabu fresh tu lakini unajikuta next month huon mp !naudhika sana jaman !sitak kabs kusikia hizi kalenda ! wanangu wote nilienda na kalaenda lakini wapiiii! mie nahisg siku zote kwangu ni danger tu mxiew
Too much kujiachia loh[emoji15]inategemeana na ntu na ntu wengine 6mths ,wengine 2yrs wakiachisha wanaanza period !mie mwezi mmoja tu jaman !kha
ahMkeo mbona hufananii na kuoa?
Mkuu wewe ndo umenipa jibu sahihi, thanks, lakini kitu kinachonikanganya, kwani unacount siku 14 baada ya menistruation au siku ile tu anapoingia hedhi?Chukua first day of her last menistruation then count fourteen days. Hiyo siku ya 14 ndio kuna red indicator usiguse kabisa. For precaution usido from day 11.
Hahaaa mwenyewe nilishani wife wake huwa anamtishia kisu au sumu akiwa kwene mwezi mchanga kumbe story tofautiNimefungua kwa fujo nkajua kuna siku watu wasiojulikana watakuja kumbe menstrual cycle ..title hizo tunatishiana bwana!
Tena huyo ndio kakupoteza zaidi kila mwanamke ana mzunguko wakeMkuu wewe ndo umenipa jibu sahihi, thanks, lakini kitu kinachonikanganya, kwani unacount siku 14 baada ya menistruation au siku ile tu anapoingia hedhi?
Toka siku anamaliza ahesabu siku 10 mbele,hapo chezeni kadri muwezavyo..but kuanzia ya 11 tumieni condom au vita subira. Then aweke rekodi,anaweza download app calendar kama ulivyoambiwa post za nyuma. Lakini ni vizuri aanze kuanzika kwa mkoono somewhere baada ya miezi fulani ahesabu distance ya tar kati ya mwenzi mmoja na uliofuata na unaofuata,hapo atajua siku zake zinarudi nyuma kwa siku ngapi. Mfano mimi kama mara ya mwisho tar 18 basi siku 5 nyuma na siku ya sita naingia kazini,mwezi utakaofuata.Mkuu kama upo nje mada vile, post yangu inahusiana na siku za hatari kupata mimba, siyo hedhi mkuu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] haya Dear wanguhahaha ht mie nna twins wa nje sema wamekuwa sasa 7,5yrs ! ila wanakimo sawa !inachosha hatar !nipo makini !mie kaenda siwez tumia kwanza mume mlev hiyo kalenda unamletea nan !lol !najiwahi na 72hrs zipo za kutosha !