Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

Toka siku anamaliza ahesabu siku 10 mbele,hapo chezeni kadri muwezavyo..but kuanzia ya 11 tumieni condom au vita subira. Then aweke rekodi,anaweza download app calendar kama ulivyoambiwa post za nyuma. Lakini ni vizuri aanze kuanzika kwa mkoono somewhere baada ya miezi fulani ahesabu distance ya tar kati ya mwenzi mmoja na uliofuata na unaofuata,hapo atajua siku zake zinarudi nyuma kwa siku ngapi. Mfano mimi kama mara ya mwisho tar 18 basi siku 5 nyuma na siku ya sita naingia kazini,mwezi utakaofuata.

PrincessAnne nahuyu je hajajiachia? nimeishia kukushangaa !
 
Ila tunahesabu kutokana na mzunguko wake?, au ni siku ya 14 tu baada ya hedhi?, mke wangu mzunguko wake ni 30 kwa 28.
Toka siku anamaliza ahesabu siku 10 mbele,hapo chezeni kadri muwezavyo..but kuanzia ya 11 tumieni condom au vita subira. Then aweke rekodi,anaweza download app calendar kama ulivyoambiwa post za nyuma. Lakini ni vizuri aanze kuanzika kwa mkoono somewhere baada ya miezi fulani ahesabu distance ya tar kati ya mwenzi mmoja na uliofuata na unaofuata,hapo atajua siku zake zinarudi nyuma kwa siku ngapi. Mfano mimi kama mara ya mwisho tar 18 basi siku 5 nyuma na siku ya sita naingia kazini,mwezi utakaofuata.
 
Wewe unahesabu siku za nn? Wewe piga tu daily...siku zitajipanga zenyewe.....hivi hilo ndy swala la kuleta humu?wacha uvivu...PIGA TU...asubuhi na jioni mchana ww gonga tu
 
hahaha hakuna kitu ambacho nilishashindwa km hayo makitu jaman ! mie hazibadiliki hata kidg ila sasa nahesabu fresh tu lakini unajikuta next month huon mp !naudhika sana jaman !sitak kabs kusikia hizi kalenda ! wanangu wote nilienda na kalaenda lakini wapiiii! mie nahisg siku zote kwangu ni danger tu mxiew
Sio kwamba siku zote kwako ni danger ila inaonekana wewe una kiu sana mpaka inakufanya unasahau hizo siku...
 
inategemeana na ntu na ntu wengine 6mths ,wengine 2yrs wakiachisha wanaanza period !mie mwezi mmoja tu jaman !kha
Haaaaaaah mie Mke Wangu ni mwezi wa tatu huu tangia ajifungue basi nkapata wasiwasi nkajua nmeshamjaza mimba
 
hahaha ht mie nna twins wa nje sema wamekuwa sasa 7,5yrs ! ila wanakimo sawa !inachosha hatar !nipo makini !mie kaenda siwez tumia kwanza mume mlev hiyo kalenda unamletea nan !lol !najiwahi na 72hrs zipo za kutosha !
72hrs wamaanisha p2, ni kwa emergency use only, do not practise it in regular basis better use njia nyinginezo nasikia madhara yake ni makubwa endapo zitatumiwa mara kwa mara.
 
Satute,

Niende moja kwa moja kwenye mantiki, mke wangu ziku zake za hedhi zimetokea kuvurugika tu, hivo napata mtihani mkubwa sana kujua siku zake za hatari.

Ziku zake za hedhi kwa miezi ya karibuni iko hivi, mwezi wa 5 aliingia tarehe 20, mwezi wa 6 aliingia tarehe 10, mwezi wa 7 aliingia tarehe 10, mwezi wa 8 aliingia tarehe 5 na mwezi wa 9 kaingia tarehe 18.

Kiukweli imeniacha njia panda kubwa sana za kuweza kutambua siku za kuweza kupata mimba kwa kipindi cha nyuma alikuwa akiingia kila tarehe 10 ya kila mwezi wakuu kwa mabadiliko hayo nitahesabu vipi siku zake za hatari?

Ushauri wenu tafadhali.
Nawasilisha

By
Young

Dimaa.
Download application inaitwa Flo,halafu set tarehe aliyoingia siku zake,anatumia siku ngapi na mzunguko wake ni wa siku ngapi?

Binafsi imenisaidia sana kwani hii Ndio njia ninayoitumia na huniongoza IPI siku mbaya na IPI nzuri kuhondomola
 
Mzunguko wake ni 28 kwa 30
 
Kwa wengi wenye mzunguko wa siku 28,siku atakayoanza kubleed mfano kaanza tarehe 1,siku ya 14 yaani tar 14 ndo itakuwa siku yai linapotoka kwny ovary kuja mirija ya fallopia kwa ajili ya kurutubishwa.

Hivyo siku hiyo itakua ni hatari kwani ukipiga tu moja kwa moja mbegu zitaenda kukuta yai lipo linasubiri hivyo kupenya na kulirutubisha.

Kwanini unaambiwa uruke siku tatu nyuma na Siku tatu mbele?

Mbegu za kiume zina vinasaba (chromosomes) XY na za kike XX. Chromosomes Y ina sifa ya kuwa na speed kubwa inapotoka kwenye **** kuelekea kwenye K, na ina lifespan (muda wa kuishi) mdogo ambao ni 48hrs sawa na siku mbili. Wakati huo, chromosome X ina speed ndogo ukilinganisha na Y na pia inasurvive kwa mda mrefu, yaani masaa 72 sawa na siku tatu.

Kwahiyo unapoambiwa siku tatu kabla ni Danger, maana yake ni kuwa inawezekana ukafanya sex na huyo mke wako let's say siku ya 11 (wakati huo siku ya 14 ndo yai linatoka) zile mbegu zikafika na kwa kuwa Y inasurvive kwa almost 2days itakufa, lakini X itakuwa bado inasurvive hivyo yai litakapotoka litaweza kurutubishwa na hivyo kumpa ujauzito.

Hivyo hivyo ukiambiwa siku tatu baada ya hyo ya 14 maana yake ni kuwa mbegu XX zilizopo kwenye yai zinaishi kwa masaa 72 hivyo siku ya 14 zinapotoka zinauwezo wa kuwa hai mpaka siku ya 17 kwa kua lifespan yake ni siku 3. Utakapofanya sex na mke wako hata hiyo siku ya 17 basi mbegu zako zitakuta yai liko hai na kulirutubisha. Na hapa ndipo unagusia masuala ya mtoto wa kike au wa kiume kwa kufanya timings. Kama utakuwa makini utakua umeishaelewa.

NB:- Yai likishatoka na kusubiri siku tatu bila kurutubishwa basi, automatically hufyonzwa ndani ya mwili mpaka tena mzunguko mwingine
Ahsante sana mkuu ,hapa umenipa jibu sahihi mkuu, vipi kwa wale wenye mzunguko wa randomly wanahesabu vipi siku zao za hatari?
 
Reproduction (meiosis + mitosis) huku genetics (gene mutation) ukijuwa biology, tamu sana.
 
Ahsante sana mkuu ,hapa umenipa jibu sahihi mkuu, vipi kwa wale wenye mzunguko wa randomly wanahesabu vipi siku zao za hatari?
Hahaa, iko hivi mkuu,,,,, mzunguko ule wa kawaida huwa ni siku 28. Mzunguko huu ni rahisi kutabirika siku zake za hatari kwa maana ya kuwa unajua ktkt yake (siku ya 14) ni ya hatari au ya kupachika mimba.

Tofauti na hapo ujue hyo ni randomly menstrual cycle. Unajuaje kuwa ni random? Fanya uchunguzi kwa miezi isiyopungua mitatu. Kama ambavyo umetoa mfano wa wife wako ambao mzunguko wake ulikuwa 20/10/10/8/18 ukianzia mwezi wa 5-9. Kujua km ni random mzunguko unakuwa haufanani kabisa yaani unaweza ukawa labda 10/2/20. Hapo ujue huo ni random menstrual cycle.

Random menstrual cycle maana yake ni kuwa either ovulation haitokei kabisa au inatokea lakini kwa bahati sana. Hii mara nyingi huwa ni kiashiria cha kuwa na tatizo fulani kiafya (ingawa pia kuna visababishi vingine nitavitaja mwishoni). Hivyo ukiona mwanamke ana mzunguko wa aina hii ni vyema kwenda hospital kupata ushauri wa daktari na kujua km ni tatizo la kiafya ama la.

Kugundua siku za hatari kwa mwanamke ambaye ana mzunguko usio wa kawaida huwa ni ngumu kwasababu huwa haitabiriki. Kugundua kama mwanamke yuko kwenye siku za hatari labda afanye uchunguzi wa viashiria vya yai kuwa tayari limetoka kwenye mirija ya fallopia (ovulation).

Viashiria vyenyewe ni kama:-
*Kuangalia ute ute unaotoka kwenye K
kama ni mzito na una rangi ya maziwa maziwa hii huashiria siku ya hatari.

*Joto la mwili kuzidi sana

*Ongezeko la hamu ya kufanya mapenzi n. k

Hivi ni baadhi ya viashiria tu kwahyo akiona dalili hizi ajue kuwa yupo kwenye siku za hatari.

Baadhi ya sababu zinazopelekea kubadilika kwa siku za hedhi ni kama vile :-
*Kuwa na msongo wa mawazo/Stress

*Kuugua

*Kubadilisha mazingira au vyakula au ratiba ya kula

*Matumizi ya dawa za Uzazi wa mpango au Uvutaji wa sigara n. k

*Kufanya mazoezi kwa wingi kupita kiasi

n. k
 
Mkuu mbona mtihani huu
 
Back
Top Bottom