Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

mku pandikiza kijiti mkuu upige kazi full time tuh
 
Sijatahiriwa shost, ila hali yangu n mby hizi siku nioneeni huruma tu yaani ndo ile unasikia kichaa cha nyege basi huwa nakiona kabisaa
Una libalaaa mtoto wa kike[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Very simple mkuu wangu, sizani kama ni sahihi kutumia condom na mke wako wa ndoa.. Pia haya madawa ya uzazi wa mpango ni mabaya sana, hayafai kabisa... hua yana matatzo yake.....
Mkuu condom siijui hata ilivyo, wala sitaki hata kuiskia, sijui hata inachomekwaje, madawa vilevile sipendi mke wangu atumie.
 
Kinachokutambulisha ujue siku yake ya kuingia ktk joto la uzazi ni tarehe yake ya kuanza breed haijalishi inakuwa tofauti kila mwezi.
Nijuavyo mimi, siku za breed ziko tano tu. Hapa ina maana ukianza kubreed leo hizo tano anza kuzihesabia jana kwa maana ya internal breeding ilikuwepo ila hukuiona. Ukimaliza kubreed leo hesabia na kesho kwa maana ndani haijakauka. Lakini hapa ni kwa wale wanaoenda breed siku tatu kakauka na ndiyo normal.
Siku 5=breed
Siku 7=kavu huwezi beba mimba ila exception siku ya saba jioni waweza beba mimba kwa kuwa mbegu za mwanaume zitakuwa hai hadi unaingia siku za joto mbegu hazijafa hivyo umakini ni mhimu na hapa ndipo karenda inapokuwa pasua kichwa japo nzuri.
Siku 9=za joto kushika mimba.
Siku 7=kavu huwezi shika mimba kabisa maana hz saba zikiisha unaanza kubreed tena.
Ukijumlisha siku hz utapata jumla siku 28.
Elimu hii ni pana na tunajifunza mapya kila siku.
 
Poa mkuu
 
Hivi kwanini mnateseka wakati kuna ile njia ya kuwatoa wazungu nje,yaani we ukisikia tu wanakuja una waelekezea nje, nice n easy..
 
Mkuu condom siijui hata ilivyo, wala sitaki hata kuiskia, sijui hata inachomekwaje, madawa vilevile sipendi mke wangu atumie.

Good mkuu, shemeji asitumie kabisa hayo madawa ya uzazi wa mpango sio mazuri kabisa
 
Sasa mi nasema kitu ninacho experienxce anasema tango,mimi ninae ishi katika hiyo hali niko sawa na yeye anaesoma katika vitabu...kanibore


sasa na mwingine jana naeleza tu kuwa wanawake tumepishana wengn wakizaa wanakaa 6mths,au 2yrs,au 1 mth km mie !akaniambia najianika sana !khaa nikamshangaa kusema nakaa mwez naanza mp ndo kujianika !pyeeee ! watu km wehu vile !
mxiewwwwwwwwwwwww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…