ng'wanza
Mwaguku mwanike.... Sawa, nene Shinyanga Kahama likijiji lya Lobha.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ng'wanza
Mwagugu mwanike.... Sawa, nene Shinyanga Kahama likijiji lya Lobha.......
Kama unaendaga mwezini na wewe kila mtu apambane na pad zake. Ukijihesimu inatosha.Tango hili
Una libalaaa mtoto wa kike[emoji15] [emoji15] [emoji15]Sijatahiriwa shost, ila hali yangu n mby hizi siku nioneeni huruma tu yaani ndo ile unasikia kichaa cha nyege basi huwa nakiona kabisaa
Kama unaendaga mwezini na wewe kila mtu apambane na pad zake. Ukijihesimu inatosha.
Mkuu condom siijui hata ilivyo, wala sitaki hata kuiskia, sijui hata inachomekwaje, madawa vilevile sipendi mke wangu atumie.Very simple mkuu wangu, sizani kama ni sahihi kutumia condom na mke wako wa ndoa.. Pia haya madawa ya uzazi wa mpango ni mabaya sana, hayafai kabisa... hua yana matatzo yake.....
Inauma sana
Kinachokutambulisha ujue siku yake ya kuingia ktk joto la uzazi ni tarehe yake ya kuanza breed haijalishi inakuwa tofauti kila mwezi.Satute,
Niende moja kwa moja kwenye mantiki, mke wangu ziku zake za hedhi zimetokea kuvurugika tu, hivo napata mtihani mkubwa sana kujua siku zake za hatari.
Ziku zake za hedhi kwa miezi ya karibuni iko hivi, mwezi wa 5 aliingia tarehe 20, mwezi wa 6 aliingia tarehe 10, mwezi wa 7 aliingia tarehe 10, mwezi wa 8 aliingia tarehe 5 na mwezi wa 9 kaingia tarehe 18.
Kiukweli imeniacha njia panda kubwa sana za kuweza kutambua siku za kuweza kupata mimba kwa kipindi cha nyuma alikuwa akiingia kila tarehe 10 ya kila mwezi wakuu kwa mabadiliko hayo nitahesabu vipi siku zake za hatari?
Ushauri wenu tafadhali.
Nawasilisha
By
Young
Dimaa.
Poa mkuuKinachokutambulisha ujue siku yake ya kuingia ktk joto la uzazi ni tarehe yake ya kuanza breed haijalishi inakuwa tofauti kila mwezi.
Nijuavyo mimi, siku za breed ziko tano tu. Hapa ina maana ukianza kubreed leo hizo tano anza kuzihesabia jana kwa maana ya internal breeding ilikuwepo ila hukuiona. Ukimaliza kubreed leo hesabia na kesho kwa maana ndani haijakauka. Lakini hapa ni kwa wale wanaoenda breed siku tatu kakauka na ndiyo normal.
Siku 5=breed
Siku 7=kavu huwezi beba mimba ila exception siku ya saba jioni waweza beba mimba kwa kuwa mbegu za mwanaume zitakuwa hai hadi unaingia siku za joto mbegu hazijafa hivyo umakini ni mhimu na hapa ndipo karenda inapokuwa pasua kichwa japo nzuri.
Siku 9=za joto kushika mimba.
Siku 7=kavu huwezi shika mimba kabisa maana hz saba zikiisha unaanza kubreed tena.
Ukijumlisha siku hz utapata jumla siku 28.
Elimu hii ni pana na tunajifunza mapya kila siku.
Mkuu condom siijui hata ilivyo, wala sitaki hata kuiskia, sijui hata inachomekwaje, madawa vilevile sipendi mke wangu atumie.
Sasa mi nasema kitu ninacho experienxce anasema tango,mimi ninae ishi katika hiyo hali niko sawa na yeye anaesoma katika vitabu...kaniboremama weeeee ! tusi hili !
Sasa mi nasema kitu ninacho experienxce anasema tango,mimi ninae ishi katika hiyo hali niko sawa na yeye anaesoma katika vitabu...kanibore
Kwan kasema hataki mimba huenda anatafuta mimbaChukua first day of her last menistruation then count fourteen days. Hiyo siku ya 14 ndio kuna red indicator usiguse kabisa. For precaution usido from day 11.