Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
Wazee huwa mnaniacha hoi... mimi natafuta hizo kilo hazipatikani.
Unene ni mzigo bro.
Mimi nanenepa tu situmii sana vitu vya sukari, mafuta sio mlaji sana labda kwasababu sifugagi mademu pasua vichwa.
Nagawa nguo zangu kibao kwasababu ya hili li mwili.