Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ndio mkuuKumbe tuko wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuuKumbe tuko wengi
[emoji23] mkuu demu pasua kichwa utaishia kujinyonga tu, bora tununue dawaBruh ahaaaaa tupo wengi aisee me nimeanza kutamani ata nipate demu pasua kichwa labda nitakonda maana hasara zakupoteza pesa nazipata mara kwa mara ila bado azitoshi kunikondesha.
Miezi 3 iliyopita nimenunua tshirt , kibao lakini sasahivi zimenibana, hasara tuUnene ni mzigo bro.
Mimi nanenepa tu situmii sana vitu vya sukari, mafuta sio mlaji sana labda kwasababu sifugagi mademu pasua vichwa.
Nagawa nguo zangu kibao kwasababu ya hili li mwili.
Hapo sasa ni kutembea na chupa ya chaiUsipende kunywa soda badala au bia badala yake wew uwe mpenz wa maj ya uvugu vugu yaliyo changanywa na limao
tumejifunza kazi ya protini ni kijenga mwili, sayansi darasa la 3, mwenzako anataka kuubomoa
Kila kinacholiwa.Yaani hili hata mimi nalishangaa.
wewe unakula nini?
Hizo bizari muangalie msije toka makalio ohhhho
[emoji23] mkuu demu pasua kichwa utaishia kujinyonga tu, bora tununue dawa
[emoji16]kwa ninavopenda kupungua, bora waseme tuAahaaaaa, sema mambo ya diet nayo ni changamoto kama mazoezi tu.
Dawa nazo nazo ndio vile mwili unaweza ukashuka ghafla mpaka watu wakasema umeukwaa ukimwi nn.
Jaribu vidonge vinaitwa garcinia cambogia[emoji23] mkuu demu pasua kichwa utaishia kujinyonga tu, bora tununue dawa
Avae apo umemalizaaUsipende kunywa soda badala au bia badala yake wew uwe mpenz wa maj ya uvugu vugu yaliyo changanywa na limao
Shukran kivieleAvae apo umemalizaa
hivi nauliza mkuu huu mjaiduru ni mti gani kiengereza tafazariMADHARA YA KITAMBI
[emoji298]ini kuhifadhi sumu na kushindwa kutoa insulin ambayo hupelekea maradhi ya::-
[emoji298]kisukari ambayo hufanya mwili kukosa nguvu za kukabiliana na magonjwa yanayoushambulia mwili ikiwa ni pamoja na
[emoji298]nguvu za kiume, ukiwa na tatzo hili unaweza kushindwa kumuingilia mkeo au kwenda safari moja tu
[emoji298]mwanamke kupata tabu ya kupata ujauzito kwa sababu wanazalisha homini ya androgen ambayo huzuia kupata siku zake pia hufanya mzunguko wa m,mke kusumbua
[emoji298]magonjwa ya mzunguko wa damu ikihusisha moyo pamoja na mishipa yake ambayo hupelekea kupata PRESHA NA KIHARUSI
[emoji298][emoji1542][emoji1542][emoji298]cjui kwann mwanaume akipungua kitambi dhakari yake huongezeka nchi moja au zaidi
DAWA YA KUPUNGUZA MWILI NA KITAMBI
[emoji269][emoji268][emoji269][emoji268][emoji269][emoji268][emoji269]
TAFUTA UNGA WA MJAIDURU KIJIKO KIMOJA CHA CHAI VURUGA KWENYE MAJI YA UVUGU VUGU NA SI YAMOTO KIKOMBE KIMOJA
[emoji266][emoji266]KUNYWA KAMA HIVYO KUTWA MARA TATU UJE UNIPE JIBU BAADA YA CKU 21 [emoji268][emoji268]
KWA USHAURI NA TIBA WASILIANA NAMI AU DR MWINYI
WENU KATIKATI TIBA ASILIA
SULAYMAN
0655821550
Vipi madam ulifanikiwa kufika 70 ???Nilifikisha kilo 90 na mimi ni 5.6” tu. Nilianza kupata matatizo ya high BP.
Diet ndiyo mambo yote. Asubuhi ninapata ki yoghurt kidogo cha 1.25 grams.
Mchana grilled fish with salad na maji
In between apples na oranges
Jioni mchemsho wa kuku wa kienyeji vipande viwili au mayai mawili ya kuchemsha na salad
Kunywa maji mengi
Sasa hivi nimefika 78 lakini aim ni kufika 70