Msaada: Njia rahisi za kupunguza mwili

Msaada: Njia rahisi za kupunguza mwili

MADHARA YA KITAMBI
[emoji298]ini kuhifadhi sumu na kushindwa kutoa insulin ambayo hupelekea maradhi ya::-
[emoji298]kisukari ambayo hufanya mwili kukosa nguvu za kukabiliana na magonjwa yanayoushambulia mwili ikiwa ni pamoja na
[emoji298]nguvu za kiume, ukiwa na tatzo hili unaweza kushindwa kumuingilia mkeo au kwenda safari moja tu
[emoji298]mwanamke kupata tabu ya kupata ujauzito kwa sababu wanazalisha homini ya androgen ambayo huzuia kupata siku zake pia hufanya mzunguko wa m,mke kusumbua
[emoji298]magonjwa ya mzunguko wa damu ikihusisha moyo pamoja na mishipa yake ambayo hupelekea kupata PRESHA NA KIHARUSI
[emoji298][emoji1542][emoji1542][emoji298]cjui kwann mwanaume akipungua kitambi dhakari yake huongezeka nchi moja au zaidi

DAWA YA KUPUNGUZA MWILI NA KITAMBI
[emoji269][emoji268][emoji269][emoji268][emoji269][emoji268][emoji269]
TAFUTA UNGA WA MJAIDURU KIJIKO KIMOJA CHA CHAI VURUGA KWENYE MAJI YA UVUGU VUGU NA SI YAMOTO KIKOMBE KIMOJA

[emoji266][emoji266]KUNYWA KAMA HIVYO KUTWA MARA TATU UJE UNIPE JIBU BAADA YA CKU 21 [emoji268][emoji268]
KWA USHAURI NA TIBA WASILIANA NAMI AU DR MWINYI
WENU KATIKATI TIBA ASILIA
SULAYMAN
0655821550
Aisee..unapatikana wapi
 
Kuna kitu inaitwa manjano au bizari.
Tumia hiyo kwenye misosi yako ndani ya wiki moja tu , utatamani kuanza kula mafuta kurudisha weight yako....
Toa ufafanuzi vizur mi ni mtu wa bia na nyama kwa sana nimeuchoka huu mwili
 
Edibily Lunyamila alishindwa majaribio Ujerumani kwa kukosa kilo 80, endelea na tizi kijana, hatutegemei mwanaume wa shoka kuwa na kilo 50, uko kwenye raiti traki,
Mkuu hii habari niliisikia kipindi kile, sijui ni kweli au somjo,, sio umri ulikuwa [emoji16]
 
Nakuhakikishia ukipungua uzito haraka uzito huo utarudi haraka pia.
Cha muhimu nenda taratibu jiwekee malengo hata ya miezi mi3 mpaka 6.
Kingine mazoezi siyo njia sahihi ya kupungua uzito ebu jiulize mtu ana kilo 104 anapigaje mazoezi si tunamtesa.
Kupungua uzito ni lazima uache kula wanga na sukari na badala yake utumie vyakula vya mafuta mazuri. Tunaita ketogenic diet .
 
Acha kula sukari(soda, chai, matunda km nanasi, chungwa, topetope, stafeli nk), achana na wanga(ugali, wali, ndizi, na vitu kama hivyo).......

Pendelea kula protini zaidi(nyama, mayai, maharagwe, samaki, mboga mboga, salad na matunda km parachichi nk)

Hapo utakua umefanikiwa ndani ya muda mchache utaanza kuona mabadiliko.... nimelifanyia kazi na nimeona matokeo yake.... then nikamshauri na gf wangu nae kaanza kuona mabadiliko hadi amekuwa kama mkombozi kwa watu anaowafahamu.

Hii itakusaidia kuepuka magonjwa yote unayoyajua.
 
tumejifunza kazi ya protini ni kijenga mwili, sayansi darasa la 3, mwenzako anataka kuubomoa
 
Back
Top Bottom