Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
Wazee huwa mnaniacha hoi... mimi natafuta hizo kilo hazipatikani.
Una raha sanaWazee huwa mnaniacha hoi... mimi natafuta hizo kilo hazipatikani.
Tumia ya unga tu mkuu.Kweli mkuu?? binzari mbichi su ya unga?
Shukrani... nitaanza na hilo.. si naweka kwenya mboga kama kawaida au naitumiaje?Tumia ya unga tu mkuu.
Hata mbichi ni nzuri pia.
Hakuna masharti katika hilo.
Sina raha huwezi amini...Nifanyeje angalau niukaribie mwili wako nisiufikie lakiniUna raha sana
Hata mimi sijui nilfikaje huku..Sina raha huwezi amini...Nifanyeje angalau niukaribie mwili wako nisiufikie lakini
[emoji16] [emoji16]Hata mimi sijui nilfikaje huku..
Hilo ni kweli ila naona nimeshuka nataka kuongeza angalau nikaribie 80(nikaribie nisifike).
Mimi napenda vitu vya sukari saana. Nina sweet-teeth..Vi yoghurt, keki keki, soda, wine,...
lakini kilo nazotaka hazifiki... nile nini?
Zilinishinda siwezi.Unene sio mzuri aisee Kabisaaa.
Nimenenepa kirahisi kukonda ni ishu
Kunywa bia sana ahaaa.
YapShukrani... nitaanza na hilo.. si naweka kwenya mboga kama kawaida au naitumiaje?
Shukrani.. nitaitumiaYap
weka kwenye mboga wakati wa kula, usiipikiemo, ukiipikia kwenye mboga unaua nutrients zote.
Pia waweza weka kwenye juice na vinginevyo.
Kiasi kidogo tu cha kinatosha, sio lazima uweke nyingi sana mpaka ikolee ibadili rangi ya chakula.
Kazi yake ni kuchoma white fat deposit(wengi wanaita kitambi) ila kiutaalamu ni akiba ya mafuta meupe ya mwili, ili yawe brown fat ambayo ndiyo mwili hutumia kuzalishia energy.
Usishangae ndani ya siku mbili tatu tabia ya kula kula hovyo hovyo kila kinachokatiza mbele yako ikakata automatically.
Punguza kula vyakula vya sukari, vilivyokaangwa kwa mafuta na wanga mfano wali, ugali n.kJamani me nina kilo 80 nahitaji kupunguza kwa haraka ninafanya mazoezi ya kukimbia huwa na zunguruka wanja mara 6 kwa siku ila ndani ya wiki mbili nipunguza kilo 1 tu hv hakuna njia za kupunguza mwili kwa haraka zaidi nimechoka na huu mwili
cc MziziMkavu kuna ukweli hapa mkuu?Yap
weka kwenye mboga wakati wa kula, usiipikiemo, ukiipikia kwenye mboga unaua nutrients zote.
Pia waweza weka kwenye juice na vinginevyo.
Kiasi kidogo tu cha kinatosha, sio lazima uweke nyingi sana mpaka ikolee ibadili rangi ya chakula.
Kazi yake ni kuchoma white fat deposit(wengi wanaita kitambi) ila kiutaalamu ni akiba ya mafuta meupe ya mwili, ili yawe brown fat ambayo ndiyo mwili hutumia kuzalishia energy.
Usishangae ndani ya siku mbili tatu tabia ya kula kula hovyo hovyo kila kinachokatiza mbele yako ikakata automatically.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tengeneza mwili mkubwa hata ukishuka kwenye Fortuner hakuna anayeuliza nani kashuka
Mchawi ni kula. Kama utaweza kupunguza kula. Ndani ya wiki utaona utofauti.Jamani me nina kilo 80 nahitaji kupunguza kwa haraka ninafanya mazoezi ya kukimbia huwa na zunguruka wanja mara 6 kwa siku ila ndani ya wiki mbili nipunguza kilo 1 tu hv hakuna njia za kupunguza mwili kwa haraka zaidi nimechoka na huu mwili
Hivi unatengenezaje maji ya matangoKunywa maji na tango pekee kwa muda wa wiki mbili.....kisha uje kusimulia.