Msaada: Njia rahisi za kupunguza mwili

Aisee..unapatikana wapi
 
Kuna kitu inaitwa manjano au bizari.
Tumia hiyo kwenye misosi yako ndani ya wiki moja tu , utatamani kuanza kula mafuta kurudisha weight yako....
Toa ufafanuzi vizur mi ni mtu wa bia na nyama kwa sana nimeuchoka huu mwili
 
Edibily Lunyamila alishindwa majaribio Ujerumani kwa kukosa kilo 80, endelea na tizi kijana, hatutegemei mwanaume wa shoka kuwa na kilo 50, uko kwenye raiti traki,
Mkuu hii habari niliisikia kipindi kile, sijui ni kweli au somjo,, sio umri ulikuwa [emoji16]
 
Nakuhakikishia ukipungua uzito haraka uzito huo utarudi haraka pia.
Cha muhimu nenda taratibu jiwekee malengo hata ya miezi mi3 mpaka 6.
Kingine mazoezi siyo njia sahihi ya kupungua uzito ebu jiulize mtu ana kilo 104 anapigaje mazoezi si tunamtesa.
Kupungua uzito ni lazima uache kula wanga na sukari na badala yake utumie vyakula vya mafuta mazuri. Tunaita ketogenic diet .
 
Mkuu hii habari niliisikia kipindi kile, sijui ni kweli au somjo,, sio umri ulikuwa [emoji16]
umri walishaujua kabla hajafika, issue ilokiwa uzito mdogo na kukimbia kuangalia mpira chini ..sijui ngasa kule westham walimpa vigezo gani.
 
Acha kula sukari(soda, chai, matunda km nanasi, chungwa, topetope, stafeli nk), achana na wanga(ugali, wali, ndizi, na vitu kama hivyo).......

Pendelea kula protini zaidi(nyama, mayai, maharagwe, samaki, mboga mboga, salad na matunda km parachichi nk)

Hapo utakua umefanikiwa ndani ya muda mchache utaanza kuona mabadiliko.... nimelifanyia kazi na nimeona matokeo yake.... then nikamshauri na gf wangu nae kaanza kuona mabadiliko hadi amekuwa kama mkombozi kwa watu anaowafahamu.

Hii itakusaidia kuepuka magonjwa yote unayoyajua.
 
tumejifunza kazi ya protini ni kijenga mwili, sayansi darasa la 3, mwenzako anataka kuubomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…