Msaada: Njia rahisi za kupunguza mwili

Mmh! Kuku tena unagonga.
Nawasiwasi km kitambi kitatoka
 
Unene ni mzigo bro.

Mimi nanenepa tu situmii sana vitu vya sukari, mafuta sio mlaji sana labda kwasababu sifugagi mademu pasua vichwa.

Nagawa nguo zangu kibao kwasababu ya hili li mwili.
Miezi 3 iliyopita nimenunua tshirt , kibao lakini sasahivi zimenibana, hasara tu
 
Sasa kama kuna kitu kinanikosesha mabinti wadogo basi ni suala la kitambi
 
tumejifunza kazi ya protini ni kijenga mwili, sayansi darasa la 3, mwenzako anataka kuubomoa

Ni kweli, na kwa kutumia protini unaenda kubomoa zile kuta za mafuta zinazojitengeneza kwa kutokana na wanga na sukari.

Ktk mwili kuna process ili chakula kiwe energy, protin process yake ni rahisi kulinganisha na vyakula vya wanga na sukari, hivyo kutokana na malimbikizo(kufuatia tunakula milo mi3 inayohusisha wanga na sukari) wanga inabadilishwa kuwa mafuta ili itunzwe kwa matumizi ya baadae, sasa yale ndo yanyofanya upate kitambi..........

hii ni kama hesabu ya kujimlisha na kutoa.....

Ili kupunguza futa lisilo na ulazima mwilini, unatakiwa kuondoa visababishi vya hilo futa... unapoacha kula wanga na sukari, yale yaliyopo yatatumiaka hadi kufikia kiwango chenye uwiano, hivyo protini itafanya kazi yake kwa ufasaha..... kujenga mwili(kujenga mwili haimaanishi kukupa kitambi, bali kuulinda, kuboresha na kuurepea pale kunapokuwa na uharibifu)
 
[emoji23] mkuu demu pasua kichwa utaishia kujinyonga tu, bora tununue dawa

Aahaaaaa, sema mambo ya diet nayo ni changamoto kama mazoezi tu.

Dawa nazo nazo ndio vile mwili unaweza ukashuka ghafla mpaka watu wakasema umeukwaa ukimwi nn.
 
Naomba ufafanuzi zaidi!
Kwamba Kwa muda huo unakunya hiyo juisi ya tango peke Yake asubuhi , mchana na jioni? Au Mtu anaweza kula kidogo vyakula vingine?
 
Swala la kupungua uzito linahitaji subra!
Kama unapungua kilo moja moja Mbona si haba ?!
Endelee hivyo hivyo bila kukata tamaa utaweza kufikia malengo yako!
Ukishapungua changamoto nyingine ni jinsi ya ku mainten huo uzito mdogo au wa wastani uutakao!
Ndo maana swala kama hili linatakiwa kubalidilisha mfumo mzima wa maisha !
 
Ushawahi kuangalia mchezo was WWE, ushamuona mtu kama John Cena, marehemu Umaga, Randy orton, Tripple H, Dyane, na wengine wengi, ushaona uwezo wao wa kuruka juu, sarakasi za kila namna, ushajiuliza ni kwann wameweza kufanya vile? Jibu ni kwamba unaweza kuwa na kilo nyingi lkn bado ukawa mwepesi, na unaweza kuwa na kilo chache na bado ukawa mzito. Chagua mazoezi yatayokufanya uwe mwepesi na sio kupunguza kilo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi nauliza mkuu huu mjaiduru ni mti gani kiengereza tafazari
 
Vipi madam ulifanikiwa kufika 70 ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…