Kuverify account kwa broker wengi vitambulisho wanavyovikubali ni National ID( nida ), kitambulisho Cha mpiga kura ( Voters ID), leseni ya udereva( driver's license), pamoja na pasi ya kusafiria. Hivi ni vitambulisho vinavyokubaliwa kwa raia was Tanzania kwasababu vinataarifa muhimu ambazo vitambulisho vingine havina.Kwa hiyo unaweza kutumia chochote kati ya hivyo na ukawa verified.
Kitu Cha pili watakuhitaji utoe proof of residency ( uthibisho wa makazi), Hapa utahitajika kutoa dokumentu yoyote yenye taarifa za Mahali unapoishi, kwa mfano Bank statement, Water bill, electricity Bill Nk, au unaweza kutumia affidavit.
Cha msingi hicho unachokitoa lazima Liwe na jina lako na Mahali unapoishi na taarifa hizi ziendane na zile ulizojaza wakati unasajili account kwa broker wako.
Kama huna hata kimoja hapa.... Eeeeeh ...!!! Jaribu kutumia NIDA ONLINE SOFT COPY. Lakini mamlaka husika ilishazuia huduma hii, ila unaweza kuipata ndani ya dk 10 kwa Hawa janja janja wa mjini wanajuwa wenyewe wanavyofanya.
Regards.