Msaada "Not registered on network"

Msaada "Not registered on network"

Jagood

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
2,141
Reaction score
2,388
Msaada
Tatizo: Not registered on network
Simu: S6 Edge
Imei za simu ninazo.
Screenshot ya Tatizo hii hapa

screenshot_20181223-214129-png.975704
Screenshot_20181223-214053.png
Screenshot_20181223-214109.png
 
Attachments

  • Screenshot_20181223-214129.png
    Screenshot_20181223-214129.png
    100.2 KB · Views: 101
Hiyo imei ina shida,unatakiwa ku repair ,,Nyuma ya simu yako kuna imei sahihi..
 
Imei inaandikwa kwa nje nyuma chini hapo boss
Yes chief. Ila kwa hii model nilionayo Imei haijaandikwa zaidi ya country of manufacture vietnam samsung"
Sample ya back view ilivyo.
images.jpg
 
Sasa imekuaje imei hiyo mbovu iwe kweny risiti yako?
Labda hatujaelewana, ni nacho maana nisha Siku ilipo nunuliwa ilikuwa na imei sawa na iliopo kwenye risiti, ila baada ya hili tatizo kuanza na imei imechange na kuwa hio 35000000....
 
Msaada
Tatizo: Not registered on network
Simu: S6 Edge
Imei za simu ninazo.
Screenshot ya Tatizo hii hapa

screenshot_20181223-214129-png.975704
View attachment 975706View attachment 975707
Hiyo simu ina lock ktk network na simu hizo hua zinafungwa tangu kwao.
Hivyo jiandae kwa hela refu tu kuitoa lock yake kwani lazima ununue online key zake.
Na vile vile upate mafundi hodar na sio hawa wa kueka vibanda njee.
Mm nilikua nayo simu yangu ina tatizo hilo.
 
Ulitatua tatizo, gharama zake?
 
Back
Top Bottom