Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyuma ya simu ndio hiyo hiyo?Ndio Imei sahii ipo (kwenye receipt)
Imei inaandikwa kwa nje nyuma chini hapo bossSimu ilivyo haioneshi imei (sio ya kutoa battery)
hilo cover halifunguki?Yes chief. Ila kwa hii model nilionayo Imei haijaandikwa zaidi ya country of manufacture vietnam samsung"
Sample ya back view ilivyo.
View attachment 975727
Hiyo imei kimeo..haina shida hata akibandika barazanKwa usalama siku ingine usiweke imei yako hadharani
Sasa imekuaje imei hiyo mbovu iwe kweny risiti yako?Yes chief. Ila kwa hii model nilionayo Imei haijaandikwa zaidi ya country of manufacture vietnam samsung"
Sample ya back view ilivyo.
View attachment 975727
Unapatikana wapi?Shukrani.
Labda hatujaelewana, ni nacho maana nisha Siku ilipo nunuliwa ilikuwa na imei sawa na iliopo kwenye risiti, ila baada ya hili tatizo kuanza na imei imechange na kuwa hio 35000000....Sasa imekuaje imei hiyo mbovu iwe kweny risiti yako?
Hiyo simu ina lock ktk network na simu hizo hua zinafungwa tangu kwao.Msaada
Tatizo: Not registered on network
Simu: S6 Edge
Imei za simu ninazo.
Screenshot ya Tatizo hii hapa
View attachment 975706View attachment 975707![]()
Kuna tatzo gani kufanya ivo..nijuze tafadhalKwa usalama siku ingine usiweke imei yako hadharani
Ulitatua tatizo, gharama zake?Hiyo simu ina lock ktk network na simu hizo hua zinafungwa tangu kwao.
Hivyo jiandae kwa hela refu tu kuitoa lock yake kwani lazima ununue online key zake.
Na vile vile upate mafundi hodar na sio hawa wa kueka vibanda njee.
Mm nilikua nayo simu yangu ina tatizo hilo.