RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Sijawahi kupima ila ninachojua 28units lazima ninunue tena ndani ya huo mweziHongera , hapo evarage ni 1.4 Unit per day....Yaani Total watts 1400 per 24hrs ,kwa 1hr unatumia 58 Watts Evarage.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kupima ila ninachojua 28units lazima ninunue tena ndani ya huo mweziHongera , hapo evarage ni 1.4 Unit per day....Yaani Total watts 1400 per 24hrs ,kwa 1hr unatumia 58 Watts Evarage.
Kuna mda unawaza tu hela ya umeme kama kubwa jinga ukisikia meter Inalia na usingizi unqkataHumohumo... Kumbe tuko wengi
Kuna mda unawaza tu hela ya umeme kama kubwa jinga ukisikia meter Inalia na usingizi unqkataHumohumo... Kumbe tuko wengi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah imebidi nicheke mkuuKwa mwezi naweka umeme wa elfu 70. Nyumba yangu inakula umeme kama sheikh anacyokula wali kwa mikono. Janga kubwa sana hil...
WatatuMko wangapi nyumbani kwako?
Mabachela wanapenda sana rice cooker, itakua wenzo jioni wanapikia rice cookerMimi nipo kwenye nyumba ya kupanga yenye wapangaji 8 kati ya hao wapangaji saba wapo single na mmoja ndo mwenye mke na anamtoto mdogo muda wa mchana anabaki mkewe na mtoto sisi wengine tunaenda kusaka pesa na huwa tunatoka asubuhi sana kurudi usiku ratiba huwa hazitofautiani sana
Lakini cha kushangaza unit 40 zinaisha ndani ya siku 5 au 6 na kwa mwezi tunatumia unit 200 sijui tatizo ni nini kodi yangu ikiisha nataraji kuhama kwa hii nyumba bili ya umeme inanimalizia pesa
Hapo kweliMabachela wanapenda sana rice cooker, itakua wenzo jioni wanapikia rice cooker
Mimi nipo kwenye nyumba ya kupanga yenye wapangaji 8 kati ya hao wapangaji saba wapo single na mmoja ndo mwenye mke na anamtoto mdogo muda wa mchana anabaki mkewe na mtoto sisi wengine tunaenda kusaka pesa na huwa tunatoka asubuhi sana kurudi usiku ratiba huwa hazitofautiani sana
Lakini cha kushangaza unit 40 zinaisha ndani ya siku 5 au 6 na kwa mwezi tunatumia unit 200 sijui tatizo ni nini kodi yangu ikiisha nataraji kuhama kwa hii nyumba bili ya umeme inanimalizia pesa
Huu ushauri mzuri Sana Anza naoKaka hapo hua kuna issue kubwa mbili, kwanza ni ile earth rod hua inachoka au hakuiweka vzr, hii ilinilia sana unit kabla haijabadilishwa
Pili ni size ya waya za wiring, ita fundi aangalie vitu hivyo viwili na vingine atakavyoshauri yeye
Shukran!!
Au mtu ananunu freezer mtumba..Kitu cha umeme kilichochoka. TV hasa zile za plasma na mafriji ya kizamani.
TV mtumba ,freezer ..vinakula Sana umeme ..na wiring mbovu...Tv za mtumba zinakula umeme?
Mimi tv ndio ya mtumba nifanyeje ase maana now nawashanjioni tu LGTV mtumba ,freezer ..vinakula Sana umeme ..na wiring mbovu...
Earth rod na earth wire zikifungwa vibaya...
Au earth rod sio copper original
Uzia mtu nunua ingine mpyaMimi tv ndio ya mtumba nifanyeje ase maana now nawashanjioni tu LG
Anza na earth rod..tafuta copper original... ukienda dukani wakikwambia original ipo tafuta sumaku iguse...ikinasa ujue hiyo sio original...funga earth rod original...uoneSalam wakuu,
Mwaka Jana rasmi niliunganishwa na Tanesco umeme nikaanza kupata huduma. Waliniweka kwenye Ile tariff ambayo ukiweka umeme wa elfu kumi unapata units 28. Sasa ndugu zangu changamoto iliyokua inanikabili ni kwamba hizo 28 mwezi sitoboi lazima ninunue tena umeme. Nikaenda tanesco nikaongea na mhasibu mwezi December akasema nije February wanihamishe tarrif. Cha ajabu juzi nimeenda ananiambia mbona nina matumizi makubwa sana (January takribani units 131 nimetumia). Sasa nikashangaa kwa maana ndani nina friji dogo tu (hisense) TV, subwoofer na Xbox (ambayo siitumii ipo tu). Lakini matumizi yanakua makubwa, mhasibu akaniambia kunaweza kukawa na tatizo somewhere kwenye wiring. Tatizo fundi aliyenifanyia wiring kwa sasa hayupo. Hivyo kwa wataalam WA umeme naomba mnishauri nikimtafuta fundi nimwambie aangalie vitu gani ambavyo vinapelekea umeme kutumika mkubwa kiasi hiko. Jama saa SITA mchana nilirekodi units zilizokua zimebaki ambazo NI 6.65, kuja kuangalia mchana WA Leo nimekuta zimebaki units 2.79b(takribani units 3.86) zimetumika ndani ya masaa 24. Je, shida iko wapi wakuu? Shukrani. View attachment 2526613
Nimenunua mwaka jana mwezi wa 11 nikiuza ninue mpya napata ndogo yake hapaUzia mtu nunua ingine mpya
Jaribu kutotumia friji uone inakujuaje3bedroom house mkuu. Sio kumaliza mwezi lakini angalau hata wiki mbili nisingelalamika mkuu