SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 648
Kwa matumizi hayo usilalamike mkuu. Kuna jamaa ana freezer mpya ya Boss lita 150 imeandikwa 98watts lakini masaa 24 inatwanga unit 2na vipoint sembuse hivyo vifaa vyako mkuu. Ridhika mkuu au tafuta bidhaa za energy saver (siyo kampuni ila ni power rating yake ya ulaji umeme)Taa watt 15 ziko 7 masaa almost 13
Friji watt 500 (auto) masaa 24
Hisense Tv 55" 4k maa 9
Pasi, watts 1000 nusu saa
Redio (sub ufa za kichina) na Azam decoder 9hrs
Blender (inatumika almost mara 5 kwa mwezi chini ya dakika 15)
Sent from my cupboard using mug