3bedroom house mkuu. Sio kumaliza mwezi lakini angalau hata wiki mbili nisingelalamika mkuu
Ngoja nikushauri mkuu.
that is an area of career
asikudanganye mtu mambo ya kuchimba erthrod sijui mkaa sijui chumvi.
issue ya umeme ni matumizi yako mwenyewe hakunaga uchawi.
watakuja watu hapa na fix sijui za leakage lakini ni uongo tuu.
Mambo ya leakage yalikuwaka zamani kabla ya ELCB/ RCD/ RCCB
hivi vifaa vya kukinga circuit AKA circuit braker haviwezi vumilia kitu inaitwa leakage, so kwenye assumption yako ondoa hiyo. unless circuit braker yako iwe mbovu haitrip so unaweza itest kwa kubonyeza T button.
Njoo na hesabu hapa, una taa ngapi za nje zinawaka kwa muda gani na ni za watts ngapi
una taa ngapi za ndani zina watts ngapi zinawaka kwa muda gani
Vipi kuhusu Rice cooker ipo? au hita za maji moto au kuota moto?
TV inafanya kazi masaa mangpi na ni ya inches ngapi ila ukijua watts ni vizuri zaidi.
fridge ni ya watts ngapi? ina energy rating ipi ?
wala hakuna uchawi hapo unahitaji kueleweshwa tuu. haakuna technica fault in most cases