Msaada: Nyumba kuwa na matumizi makubwa ya umeme!!!


Taa watt 15 ziko 7 masaa almost 13
Friji watt 500 (auto) masaa 24
Hisense Tv 55" 4k maa 9
Pasi, watts 1000 nusu saa
Redio (sub ufa za kichina) na Azam decoder 9hrs
Blender (inatumika almost mara 5 kwa mwezi chini ya dakika 15)
Kwa matumizi hayo usilalamike mkuu. Kuna jamaa ana freezer mpya ya Boss lita 150 imeandikwa 98watts lakini masaa 24 inatwanga unit 2na vipoint sembuse hivyo vifaa vyako mkuu. Ridhika mkuu au tafuta bidhaa za energy saver (siyo kampuni ila ni power rating yake ya ulaji umeme)

Sent from my cupboard using mug
 
28 ni unit kidogo sana kama una fridge na blender angalau fanya ziwe 75 ama nenda kaombe tarrif 4 ukitoa elf 10 upate unit 75
 
Mm hadi napikia umeme ila natumia umeme wa elf9 kwa mwezi na hauishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…