Msaada: PC yangu sensor haifanyi kazi, tatizo ni nini?

Njegele

Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
61
Reaction score
100
Wapendwa nimeweka Windows 10 kwenye PC yangu aina ya Acer lakini sensor imegoma kufanya kazi naomba kukujua tatizo itakuwa ni Nini na namna ya kutatua.
 
Update Driver za hyo touchpad
 
Back
Top Bottom