Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
Hii inasaidiaAoge mwili ndo nilichomaanisha😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inasaidiaAoge mwili ndo nilichomaanisha😂😂
😂😂😂Sasa hapo umkere kidogo tu uje uone balaa lakeUnakuta mtu anagonga gonga kichwa tu na kufungua droo kwa fujo na mihangaiko kama kuku anataka kutaga 😄
Tafuta msaada wa kiroho na tafuta Muda wa kusali au kuswali ukiweza ni PM nikusaidie cha kufanya.Habari zenu wakuu.
Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.
Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata najiuliza kama nikiolewa kuna atakayeweza kuishi na mimi kila mwezi siku tatu nakua wa ajabu😭.
Hili tatizo limesababisha nipoteze wafanyakazi wengi wazuri.
Hapa ninavyoandika nimetoka kufanya maamuzi mabaya sana na ninajutia ila sijui kama niliyemfanyia anaweza kunisamehe mahusiano yarudi.
Nimekuja kukumbuka nimefanya niliyofanya sababu ya period wakati niko bafuni naoga.
Cha ajabu ni kwamba,hizo siku tatu zikipita huwa najiahidi kutofanya maamuzi yeyote ya hasira nikiwa period ila nikiingia tu period zile siku tatu za mwanzo nakua na moody mbaya na mtu akiniudhi kidogo tu nahuzunika sana,naweza kulia tu au kuamua kujitenga na huyo mtu.
Najaribu sana kuji control ila mwishowe najikuta naharibu tu😭😭.
Msaada wenu please na please naomba msinihukumu mana jinsi ninavyojisikia hovyo muda huu anajua Mungu tu.
Ndio hapo sasa hasira nyiiingi ikimtolea kibunda meno yote nje 😄Hayana mahusiano na blid, ni tabia tu inatafuta pa kutokea, control yourself, self discipline na kutojiendekeza ni muhimu.
Ukiwa kwenye blid:
- Umewahi chukia ukachana hela?
- Umewahi chukua ukagonga gari?
Mbona yote mabaya unayoamua au kufanya ni kwa ajili ya kuumiza wengine?
Mda wote mtandao uko full 5g 😄🔥🔥🔥🔥🔥bora tumezaliwa wanaume bruh
Ndio maana wanawake mnatakiwa mkae tu nyumbani aisee duh mambo mengi saaanaa😂😂😂Sasa hapo umkere kidogo tu uje uone balaa lake
😂😂Msitufanyie hivyoNdio maana wanawake mnatakiwa mkae tu nyumbani aisee duh mambo mengi saaanaa
Weeee cheka tu 😄😆 yaani pesa haina allergyImebidi tu nicheke aisee.
Sasa ofisini kama mambo ni mengi hivi si mwanzo wa kuharibiana kazi😂😂Msitufanyie hivyo
Wasichojua ni hali ambayo hata sie inatukera hizo hela unaweza mrushia nazo usoni au ukampa neno la kejeli mpaka asilisahau maisha yake yoteImebidi tu nicheke aisee.
Ndo ujikute ni boss wako basi utaipata sawasawa, ukiwa boss wake atajikaza ila anaweza kulia na kukuangushia jumba bovu la kumuonea nkSasa ofisini kama mambo ni mengi hivi si mwanzo wa kuharibiana kazi
Yaani ukiona mchumba mood swings zinamchanganya unaona mambo yasiwe mengi unaenda kujiteka hata siku tatu kwa mchepuko 😄Nawaonea wivu kweli.
Kuna mambo huwa yanafanya nitamani kuwa mwanaume.Mna raha sana.Tukuzeni uanaume.wenu.Mmependelewa kwa mengi
Polee sana acha mawazoHabari zenu wakuu.
Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.
Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata najiuliza kama nikiolewa kuna atakayeweza kuishi na mimi kila mwezi siku tatu nakua wa ajabu😭.
Hili tatizo limesababisha nipoteze wafanyakazi wengi wazuri.
Hapa ninavyoandika nimetoka kufanya maamuzi mabaya sana na ninajutia ila sijui kama niliyemfanyia anaweza kunisamehe mahusiano yarudi.
Nimekuja kukumbuka nimefanya niliyofanya sababu ya period wakati niko bafuni naoga.
Cha ajabu ni kwamba,hizo siku tatu zikipita huwa najiahidi kutofanya maamuzi yeyote ya hasira nikiwa period ila nikiingia tu period zile siku tatu za mwanzo nakua na moody mbaya na mtu akiniudhi kidogo tu nahuzunika sana,naweza kulia tu au kuamua kujitenga na huyo mtu.
Najaribu sana kuji control ila mwishowe najikuta naharibu tu😭😭.
Msaada wenu please na please naomba msinihukumu mana jinsi ninavyojisikia hovyo muda huu anajua Mungu tu.
Heee ukute unataka 100k alafu mwamba anakutolea 20k mfuko wa nyumba lazima akaziokotee mlangoni 😄Wasichojua ni hali ambayo hata sie inatukera hizo hela unaweza mrushia nazo usoni au ukampa neno la kejeli mpaka asilisahau maisha yake yote