Msaada: Period (hedhi) inanitesa

Tafuta msaada wa kiroho na tafuta Muda wa kusali au kuswali ukiweza ni PM nikusaidie cha kufanya.
 
Ndio hapo sasa hasira nyiiingi ikimtolea kibunda meno yote nje 😄
 
Nawaonea wivu kweli.
Kuna mambo huwa yanafanya nitamani kuwa mwanaume.Mna raha sana.Tukuzeni uanaume.wenu.Mmependelewa kwa mengi
Yaani ukiona mchumba mood swings zinamchanganya unaona mambo yasiwe mengi unaenda kujiteka hata siku tatu kwa mchepuko 😄
 
Polee sana acha mawazo
 
Wasichojua ni hali ambayo hata sie inatukera hizo hela unaweza mrushia nazo usoni au ukampa neno la kejeli mpaka asilisahau maisha yake yote
Heee ukute unataka 100k alafu mwamba anakutolea 20k mfuko wa nyumba lazima akaziokotee mlangoni 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…