Msaada: Period (hedhi) inanitesa

Olewa yatakwisha hayo. Utakuwa na pakutolea hasira zako.
 
Ukizaa hizo hasira za wakati wa period hupungua
Kuzaa kunapunguza tatizo la maumivu makali wakati wa hedhi (dysmenorrhea), lakini hakupunguzi hasira ambalo nadhani ni tatizo la kisaikolojia zaidi. Nashauri awaone medical psychologists!

What is dysmenorrhea? Pain associated with menstruation is called dysmenorrhea. More than half of women who menstruate have some pain for 1 to 2 days each month. Usually, the pain is mild. But for some women, the pain is so severe that it keeps them from doing their normal activities for several days a month.
 
Jinsi ya kufanya ukiwa katika hali hiyo:
1. Mshukuru Mungu kwa kuwa hedhi ni uthibitisho kuwa wewe ni mwanamke kamili usiyekuwa na tatizo la kiuzazi! Kuna wanawake wengine hedhi huisikia tu kwa wenzao, hawawezi kupata watoto hata wakiolewa!!
2. Tumia muda huo kuwaza na kufurahia ndoa yako tarajiwa! Jisemee kuwa leo uko mwenyewe lakini kuna siku ukiwa katika hali hiyo kuna kijana mmoja mtanashati umpendaye sana aatakukumbatia na kukuambia pole!!! usijali ni siku tatu tu hali hii itaisha, huku anakusugua kimtindo kiunoni!! Hayo mawazo yatakufanya siku zako zijae furaha na matarajio mazuri!!
 
Hii ya pili huwa unafanya?
 
Kumbe, huwa unamsugua kiunoni akiwa na maumivu?
Mkono wangu unahitajika sana wakati huo kuliko wakati mwingine wowote!! Mkono wangu nafanya ku-press kidogo na kusugua taratibu kimahesabu! anafurahia sanaa!! anasikia rahaaa, maumivu yote kipindi hicho kwishney, mood inakuwa nzuri, anafurahi, hisia za hasira kipindi hicho zinayeyuka kama nta mbele ya moto!!
 
Hongera mkuu
 
Amebarikiwa sana mkeo.
.Iam sure she is a very happy woman.
Hongera sana mkuu.
Mpo wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…