raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kuichek na kuishikilia na kuibonyeza bonyeza kuitomasa tomasa 😋Yes.
Kuichek tu haina shida😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuichek na kuishikilia na kuibonyeza bonyeza kuitomasa tomasa 😋Yes.
Kuichek tu haina shida😁
Unapenda kula kitu gani, members wa jf wakarimu sana!!Napenda kula tu na mziki😌
Ndizi na nyama😌Unapenda kula kitu gani, members wa jf wakarimu sana!!
Olewa yatakwisha hayo. Utakuwa na pakutolea hasira zako.Habari zenu wakuu.
Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.
Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata najiuliza kama nikiolewa kuna atakayeweza kuishi na mimi kila mwezi siku tatu nakua wa ajabu😭.
Hili tatizo limesababisha nipoteze wafanyakazi wengi wazuri.
Hapa ninavyoandika nimetoka kufanya maamuzi mabaya sana na ninajutia ila sijui kama niliyemfanyia anaweza kunisamehe mahusiano yarudi.
Nimekuja kukumbuka nimefanya niliyofanya sababu ya period wakati niko bafuni naoga.
Cha ajabu ni kwamba,hizo siku tatu zikipita huwa najiahidi kutofanya maamuzi yeyote ya hasira nikiwa period ila nikiingia tu period zile siku tatu za mwanzo nakua na moody mbaya na mtu akiniudhi kidogo tu nahuzunika sana,naweza kulia tu au kuamua kujitenga na huyo mtu.
Najaribu sana kuji control ila mwishowe najikuta naharibu tu😭😭.
Msaada wenu please na please naomba msinihukumu mana jinsi ninavyojisikia hovyo muda huu anajua Mungu tu.
Kuzaa kunapunguza tatizo la maumivu makali wakati wa hedhi (dysmenorrhea), lakini hakupunguzi hasira ambalo nadhani ni tatizo la kisaikolojia zaidi. Nashauri awaone medical psychologists!Ukizaa hizo hasira za wakati wa period hupungua
Hamna tatizo, kuna namna itafanyika!Ndizi na nyama😌
Amen😌Hamna tatizo, kuna namna itafanyika!
Jinsi ya kufanya ukiwa katika hali hiyo:Habari zenu wakuu.
Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.
Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata najiuliza kama nikiolewa kuna atakayeweza kuishi na mimi kila mwezi siku tatu nakua wa ajabu😭.
Hili tatizo limesababisha nipoteze wafanyakazi wengi wazuri.
Hapa ninavyoandika nimetoka kufanya maamuzi mabaya sana na ninajutia ila sijui kama niliyemfanyia anaweza kunisamehe mahusiano yarudi.
Nimekuja kukumbuka nimefanya niliyofanya sababu ya period wakati niko bafuni naoga.
Cha ajabu ni kwamba,hizo siku tatu zikipita huwa najiahidi kutofanya maamuzi yeyote ya hasira nikiwa period ila nikiingia tu period zile siku tatu za mwanzo nakua na moody mbaya na mtu akiniudhi kidogo tu nahuzunika sana,naweza kulia tu au kuamua kujitenga na huyo mtu.
Najaribu sana kuji control ila mwishowe najikuta naharibu tu😭😭.
Msaada wenu please na please naomba msinihukumu mana jinsi ninavyojisikia hovyo muda huu anajua Mungu tu.
Hii ya pili huwa unafanya?Jinsi ya kufanya ukiwa katika hali hiyo:
1. Mshukuru Mungu kwa kuwa hedhi ni uthibitisho kuwa wewe ni mwanamke kamili usiyekuwa na tatizo la kiuzazi! Kuna wanawake wengine hedhi huisikia tu kwa wenzao, hawawezi kupata watoto hata wakiolewa!!
2. Tumia muda huo kuwaza na kufurahia ndoa yako tarajiwa! Jisemee kuwa leo uko mwenyewe lakini kuna siku ukiwa katika hali huyo kuna kijana mmoja mtanashati umpendaye sana aatakukumbatia na kukuambia pole!!! usijali ni siku tatu tu hali hii itaisha, huku anakusugua kimtindo kiunoni!! Hayo mawazo yatakufanya siku zako zijae furaha na matarajio mazuri!!
Nadhani uwe unamkaribisha baba mtoto katika kipindi hicho, uwe naye karibu!! Bila shaka atakupa furaha kwa uwepo wake tu!! Unasemaje hapo?Nina mtoto mkuu
Ujue mimi ni me!! Naweza sana kumliwaza mwanamke akiwa katika hali hiyo!Hii ya pili huwa unafanya?
Kumbe, huwa unamsugua kiunoni akiwa na maumivu?Ujue mimi ni me!! Naweza sana kumliwaza mwanamke akiwa katika hali hiyo!
Mkono wangu unahitajika sana wakati huo kuliko wakati mwingine wowote!! Mkono wangu nafanya ku-press kidogo na kusugua taratibu kimahesabu! anafurahia sanaa!! anasikia rahaaa, maumivu yote kipindi hicho kwishney, mood inakuwa nzuri, anafurahi, hisia za hasira kipindi hicho zinayeyuka kama nta mbele ya moto!!Kumbe, huwa unamsugua kiunoni akiwa na maumivu?
Hongera mkuuMkono wangu unahitajika sana wakati huo kuliko wakati mwingine wowote!! Mkono wangu nafanya ku-press kidogo na kusugua taratibu kimahesabu! anafurahia sanaa!! anasikia rahaaa, maumivu yote kipindi hicho kwishney, mood inakuwa nzuri, anafurahi, hisia za hasira kipindi hicho zinayeyuka kama nta mbele ya moto!!
Siku nyingine ukiwa katika hali hiyo andaa mazingira hiyo ya pili ifanyike, utakuja kunishukuru!!Hongera mkuu
Dah, pole sana, hadi huruma!!Pole, mimi huwa nakosa usingizi. Nitahangaika kutafuta usingizi mpaka nimalize hizo siku🚮
Huwezi kuwa mwiba!! Utakuwa faraja, mumeo atakuelewa, atakupenda, atakutia moyo, atakusaidia!!! Nadhani hadi hapo umeshajisikia kuhitaji mume!!Hapana.
Maombi yangu ni kuwa faraja na sio mwiba kwa mume
Amebarikiwa sana mkeo.Mkono wangu unahitajika sana wakati huo kuliko wakati mwingine wowote!! Mkono wangu nafanya ku-press kidogo na kusugua taratibu kimahesabu! anafurahia sanaa!! anasikia rahaaa, maumivu yote kipindi hicho kwishney, mood inakuwa nzuri, anafurahi, hisia za hasira kipindi hicho zinayeyuka kama nta mbele ya moto!!