Msaada: Period (hedhi) inanitesa

Msaada: Period (hedhi) inanitesa

Try deep breathing, meditation and yoga during those bad days. I have extracted this information from EVERYDAY HEALTH stress managelent website, i hope this will help you. It seems your issue is very common from 15 to 49 years of age woman. GOD BLESS YOU.
 
Wasichojua ni hali ambayo hata sie inatukera hizo hela unaweza mrushia nazo usoni au ukampa neno la kejeli mpaka asilisahau maisha yake yote
Ujasiri wa kumpiga mwanaume wangu na hela usoni au kumkejeli tukiwa uso kwa uso sina aisee.Nishakua nae nikiwa period na sikua na kisirani ila akiwa mbali anakoma hizo sms za hasira😁
 
Yaani ukiona mchumba mood swings zinamchanganya unaona mambo yasiwe mengi unaenda kujiteka hata siku tatu kwa mchepuko 😄
Hakika tumeumbwa tofauti.

Mwenzio hapo juu kasema mkewe akiwa hivyo anazidisha kumpet pet(Na inasaidia kufanya awe na mood nzuri).

Wewe unaona suluhisho ni kupotelea kwa mchepuko.
 
Try deep breathing, meditation and yoga during those bad days. I have extracted this information from EVERYDAY HEALTH stress managelent website, i hope this will help you. It seems your issue is very common from 15 to 49 years of age woman. GOD BLESS YOU.
Asante sana kwa ushauri.
Nitaufanyia kazi.
Nawe pia ubarikiwe
 
Hakika tumeumbwa tofauti.

Mwenzio hapo juu kasema mkewe akiwa hivyo anazidisha kumpet pet(Na inasaidia kufanya awe na mood nzuri).

Wewe unaona suluhisho ni kupotelea kwa mchepuko.
Nimetania tuuu siko hivyoo 😄 ila kama kisarani kikizidi hakuna namna unajiteka tu hata kwa masaa kadhaa upo zako bar unachek misambwanda
 
Ujasiri wa kumpiga mwanaume wangu na hela usoni au kumkejeli tukiwa uso kwa uso sina aisee.Nishakua nae nikiwa period na sikua na kisirani ila akiwa mbali anakoma hizo sms za hasira😁
😂😂Ni genye mshindo hizo
 
Anitoe leo kesho zinirudie si nitakua na pepo la ngono au atakua hanifikishi labda😁
Sijamaanisha hivyo,, yani ataelewa hiyo mood yako inasababishwa na nini kwa leo ila ikijirudia anasahau mnajikuta mnalumbana sio mara zote atakuwa muelewa
 
Back
Top Bottom