Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 564
- 593
Hilo ni pepo, njoo ufanyiwe maombi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Wewe si utaenda kwa mchepuko hiyo show uankuwa umeikwepa kiivyoHeee ukute unataka 100k alafu mwamba anakutolea 20k mfuko wa nyumba lazima akaziokotee mlangoni 😄
Acha weeeeeee 😄Ni kweli ila sio kwangu.(Najua hutaamini)
Asante sana😌❤️dah, pole sana
Ujasiri wa kumpiga mwanaume wangu na hela usoni au kumkejeli tukiwa uso kwa uso sina aisee.Nishakua nae nikiwa period na sikua na kisirani ila akiwa mbali anakoma hizo sms za hasira😁Wasichojua ni hali ambayo hata sie inatukera hizo hela unaweza mrushia nazo usoni au ukampa neno la kejeli mpaka asilisahau maisha yake yote
Hakika tumeumbwa tofauti.Yaani ukiona mchumba mood swings zinamchanganya unaona mambo yasiwe mengi unaenda kujiteka hata siku tatu kwa mchepuko 😄
Asante sana kwa ushauri.Try deep breathing, meditation and yoga during those bad days. I have extracted this information from EVERYDAY HEALTH stress managelent website, i hope this will help you. It seems your issue is very common from 15 to 49 years of age woman. GOD BLESS YOU.
Nimetania tuuu siko hivyoo 😄 ila kama kisarani kikizidi hakuna namna unajiteka tu hata kwa masaa kadhaa upo zako bar unachek misambwandaHakika tumeumbwa tofauti.
Mwenzio hapo juu kasema mkewe akiwa hivyo anazidisha kumpet pet(Na inasaidia kufanya awe na mood nzuri).
Wewe unaona suluhisho ni kupotelea kwa mchepuko.
😂😂Ni genye mshindo hizoUjasiri wa kumpiga mwanaume wangu na hela usoni au kumkejeli tukiwa uso kwa uso sina aisee.Nishakua nae nikiwa period na sikua na kisirani ila akiwa mbali anakoma hizo sms za hasira😁
😂😂Ataelewa leo ila kesho ikijirudia kashasahau nae ana stress zake ujueNitamuonesha comment yako ili ajue akiona sms za moto ajue anahitajika.
Sijamaanisha hivyo,, yani ataelewa hiyo mood yako inasababishwa na nini kwa leo ila ikijirudia anasahau mnajikuta mnalumbana sio mara zote atakuwa muelewaAnitoe leo kesho zinirudie si nitakua na pepo la ngono au atakua hanifikishi labda😁