Msaada pikipiki yangu ya san lg inashida

Msaada pikipiki yangu ya san lg inashida

CUBICBOY

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
306
Reaction score
223
Wakuu nisaidie nina pikipiki ya san lg nilinunua kwa mtu(used) kila nikiwasha inawaka ila kila ninapoingiza gia namba moja au mbili inazima msaada nini tatizo
 
Ikizima haiwaki tena au safisha filter ya petrol adjust cluth cable ukishka clutch lever iwe mbali yaan ukiachia pakubwa ndo iondoke chek hvo...vile vile funga vzr mfuniko wa carburator ule pana pin
 
Wakuu nisaidie nina pikipiki ya san lg nilinunua kwa mtu(used) kila nikiwasha inawaka ila kila ninapoingiza gia namba moja au mbili inazima msaada nini tatizo
yawezekana shida ni clutch hapo...ukivuta inakua bado ipo engauged...ni km kuweka gia bila clutch wakati wa kuondoka lazima itazima
 
Back
Top Bottom