Wakuu nisaidie nina pikipiki ya san lg nilinunua kwa mtu(used) kila nikiwasha inawaka ila kila ninapoingiza gia namba moja au mbili inazima msaada nini tatizo
Ikizima haiwaki tena au safisha filter ya petrol adjust cluth cable ukishka clutch lever iwe mbali yaan ukiachia pakubwa ndo iondoke chek hvo...vile vile funga vzr mfuniko wa carburator ule pana pin