Msaada please: Tatizo la kutokwa damu during sex

mwambunnyara

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
518
Reaction score
208
Ndugu zangu naomba mnisaidie,coz somehow nahisi kuwa confused with the situation of my gf,kwa kawaida tumekuwa-tuki enjoy sana relationship yetu since we met,but unfortunately nimetoka safari jana,mpnz wangu amenipokea vizuri kabisa na kama ilivyoada nikajipongeza kunako 6 kwa 6,but kilichonishtua ni kwamba wakati wa tendo nikawa nahisi hali ya tofauti na siku zote,nlipochomoa ili kuangalia nini tatizo,nkashangaa damu nyingi sana inamtoka mpnz wang sehemu za siri,nkahihi pengine ni menstruation period lakini nkakumbuka ni wiki moja tu iliyopita amemaliza mp yake,sasa najiuliza what is the problem???na kwa maelezo yake haijawahi kumtokea kabla,jamani tafadhali mwenye uelewa na jambo hili naomba anieleweshe,na kama kuna tiba yake please NAOMBA NISAIDIWE COZ NAHISI KUCHANGANYIKIWA NA HII HALI.
 
uko naye muda gani?nijibu kwanza hilo tukupe usahauri
 
Katoa mimba mda si mrefu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mpeleke hospitali kwa uchunguzi zaidi..!
 
might be one of the following;
-Injuries to the vaginal wall
-STD's
-side effects of birth pills
-yeast infection
-Fibroid Tumors
otherwise take her to the gynecologist.
 
Moja wapo ya dalili ya kansa of the cervix ni kuona damu wakati wa sex. Japo kiumri ni mdogo kiasi bado ni vizuri aende hospitali akapimwe kizazi.
 
Hakuna rocket science hapo. Mpeleke hospitali. Inaweza kuwa lolote lile.
 
Moja wapo ya dalili ya kansa of the cervix ni kuona damu wakati wa sex. Japo kiumri ni mdogo kiasi bado ni vizuri aende hospitali akapimwe kizazi.

Ahsante ndugu,hivi kwa kawaida cancer ya kizazi ni common kwa watu wa umri gani??
 
Very comfusing situation Pole but hiyo inaashiria ni tatizo kwa hiyo is better if u go & chek it to hospital...!!!
 
Back
Top Bottom