mwambunnyara
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 518
- 208
Ndugu zangu naomba mnisaidie,coz somehow nahisi kuwa confused with the situation of my gf,kwa kawaida tumekuwa-tuki enjoy sana relationship yetu since we met,but unfortunately nimetoka safari jana,mpnz wangu amenipokea vizuri kabisa na kama ilivyoada nikajipongeza kunako 6 kwa 6,but kilichonishtua ni kwamba wakati wa tendo nikawa nahisi hali ya tofauti na siku zote,nlipochomoa ili kuangalia nini tatizo,nkashangaa damu nyingi sana inamtoka mpnz wang sehemu za siri,nkahihi pengine ni menstruation period lakini nkakumbuka ni wiki moja tu iliyopita amemaliza mp yake,sasa najiuliza what is the problem???na kwa maelezo yake haijawahi kumtokea kabla,jamani tafadhali mwenye uelewa na jambo hili naomba anieleweshe,na kama kuna tiba yake please NAOMBA NISAIDIWE COZ NAHISI KUCHANGANYIKIWA NA HII HALI.