Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
"Tuungane kuitokomeza punyeto!" 🤣🤣🤣Salamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.
Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.
Tuungane kuitokomeza punyeto!
Sio mbaya nina hakika huko alipo anakiwakilisha vyema CHAPUTAMi sijui hata nilikua siiingii huko bafuni kwao nilikua nakwazika tuu
Mkabidhi Bwana Yesu maisha yako hiyo tabia itafutika maramoja.Salamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.
Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.
Tuungane kuitokomeza punyeto!
Atajijua mwenyewe bwana mm kama mama yake mdogo sitaki kujua.Sio mbaya nina hakika huko alipo anakiwakilisha vyema CHAPUTA
Tusimseme sana hatuwezi jua huenda watoto wetu wakaja kuwa wanachama wa CHAPUTA piaAtajijua mwenyewe bwana mm kama mama yake mdogo sitaki kujua.
Sure hahahah cha msingi tusijue tuu..Tusimseme sana hatuwezi jua huenda watoto wetu wakaja kuwa wanachama wa CHAPUTA pia
Imewahi kukutokea[emoji23] halafu uki check wewe ni mgeni maeneo hayoWahuni wale watakujazia watu tu
🤣🤣🤣🙌 kweli aseeSure hahahah cha msingi tusijue tuu..
Sawa mwamba [emoji3][emoji3]Punyeto isibezwe ni starehe kama starehe nyingine.....
Mambo yake muachie mwenyewe. Anyway una ushahidi upi kuwa huko anapiga punyeto?Yani mm picha nayopata mnavyokua mnapiga hiyo punyeto naona kama mnakua wehu kwa muda.
Kuna dogo wa dada yangu yuko chuo imebidi nimwambie akapange tuu hostel asije tufia hapa maana akiingia bafuni saa moja usiku anatoka saa mbili na dkk kadhaa mimi mpk naona aibu aisee.
Alale na rafiki...hahaha unataka afirwe?huijui dunia vzr wwKwanza hauwezi kuwa hanith kwa kujichua, pia hauwezi kushindwa kupata watoto sababu ya kujichua
Madhara yanayoambatana na kujichua ni haya
1. Kuathirika kisaikolojia sababu kitendo unachokifanya sio maadili mazuri
2. Kushindwa kuhimili tendo la ndoa kwa mwanamke yaan ukishamwaga cha kwanza tu haurudii tena.
3. Premature ejaculation
4. Kuumwa mgongo na uti wa mgongo
5. Uume kusinyaa yaan unakuwa mdogo kama wa mtoto
Madhara haya si lazima yakutokee yote,
Hali uliyonayo hupitiwa na vijana karibu wote ila wengi huacha mapema sana sasa wewe 27 ni umri mkubwa sana kwa amaana una zaidi ya miaka 10 unajichua
Way forward.
Kwanza hatua ya kutambua kuwa kitendo hicho sio kizuri na kina madhara ndo hatua ya kwanza na nzuri kuanza safari yako mpya
Pili dhamira yako ya kutaka kuacha punyeto ni hatua ya pili na nzuri tu ambayo dereva mkuu ni wewe mwenyewe
Tatu: kamwe usijaribu kuudanganya moyo wako, najua hujanielewa kwamba umeamua kuacha halafu unajiiba maramojamoja unafanya utakuwa unafanya sawa na kunya kinyesi halafu unakila tena
Kama utashindwa kujisimamia kuacha basi tsfuta mshauri nasaha mweleze kila kitu
Cha kufanya sasa
Kwanza usikae peke yako mda mrefu kama unalala peke yako basi tafuta hata rafiki umkaribisha uwe unalala naye
Pili kama unaangalia picha za ngono basi futa zote na ikiwezekana kama smartphone ni kikwazo iuze nunua simu ya kawaida
Tatu anza mazoezi asubuhi na jioni ili kuuchosha mwili na kama umeajiriwa basi jikite zaidi kufanya kazi ya mwajiri wako masaa hata baada ya kazi ili kuuchosha mwili
Nne tafuta mschana na ikiwezekana oa kabisa sababu kwa umri wako vijana wengi ndo huanzisha familia hata mm nlioa na miaka 28 nikiwa kazini mwaka mmoja.
Na mwisho lichukie sana hilo tendo maana ni machukizo kwa mwenyezi Mungu.
Wewe ni me?Hata kwa wanaume hakuna shida, hayo madhara wanayosema ni vitisho tu
HahahahAkajichukulie huko room kwake,watu wanataka kuingia bafuni washindwe asee
Kivipi unasema upotoshajiuwongo
uwongo
uwongo
upotoshaji
NdioWewe ni me?
Unakwazikaje na huns uhakika kama awapo huko anapoga nyeto?Mi sijui hata nilikua siiingii huko bafuni kwao nilikua nakwazika tuu
Kwahyo anaimba kwaya?. Labda anaumwa basiMambo yake muachie mwenyewe. Anyway una ushahidi upi kuwa huko anapiga punyeto?
Shukuru sana hata unaweza kufanya hiyo wapo wenzako hawajui ni lini wataipata hali ni ngumu kitaaSalamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.
Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.
Tuungane kuitokomeza punyeto!
Na kweli usitake kujua, coz utajua usiyotakiwa kujua ukaishia kuumia maisha yako yote.Atajijua mwenyewe bwana mm kama mama yake mdogo sitaki kujua.
HahahahahAlale na rafiki...hahaha unataka afirwe?huijui dunia vzr ww