Msaada, punyeto inanisumbua sana

Msaada, punyeto inanisumbua sana

Kwani ni nani aliyekuthibitishia kuwa hajapata watoto au hasimamishi kwasababu alikuwa anapiga punyeto?
Acheni upumbavu kula raha wewe.
Turudi kwenye mada.
Kama unataka kuondoka katika kadhia hiyo dawa ninayo ambayo ufanisi wake ni 100% , utaiandaa mwenyewe, bidhaa yenyewe inauzwa jero tu . Inatibu kila aina ya addiction.
Je, utanilipa sh ngapi?
Soon kuna watu watapigwa na kitu kizito hapa
 
Nimwage mambo kivipi.
Nitumie elfu 10 ya soda nikupe dawa ya kuacha punyeto.
Madhara ya punyeto
  • Akili inalala
  • Afya inadhorota hasa afya ya viungo
  • Mpiga punyeto hana uwezo wa kuwa kiongozi bora
  • Utachapiwa mke wako kirahisi hata kama una pesa.
-Mikosi itakuandama.
Njoo pm nitumie hata buku 7 tu nikupe dawa upone.
Siuzi dawa ya kuacha punyeto bali nakupa tu kishkaji.
Kwa doctor Mwaka utatoa mpaka laki 2 kuponywa hilo tatizo
Sawa, tutazungumza vizuri ndugu! Ahsante sana.
 
Jiunge na group hili la telegram. Uliza maswali yote huko na utajibiwa. Kuna mbinu kadhaa wanajadili na kuna vitabu vya kisaikolojia vyenye njia za kuacha punyeto zilizothibitishwa. Kila la heri mkuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Unaulizaje kwenye chanel maana hakuna sehem unaeza comment mkuu naomba nielekeze
 
Yani mm picha nayopata mnavyokua mnapiga hiyo punyeto naona kama mnakua wehu kwa muda.

Kuna dogo wa dada yangu yuko chuo imebidi nimwambie akapange tuu hostel asije tufia hapa maana akiingia bafuni saa moja usiku anatoka saa mbili na dkk kadhaa mimi mpk naona aibu aisee.
 
Yani mm picha nayopata mnavyokua mnapiga hiyo punyeto naona kama mnakua wehu kwa muda.

Kuna dogo wa dada yangu yuko chuo imebidi nimwambie akapange tuu hostel asije tufia hapa maana akiingia bafuni saa moja usiku anatoka saa mbili na dkk kadhaa mimi mpk naona aibu aisee.
Mwache ajichukulie sheria mkononi dogo

Akileta demu mnamaindi akijipimia mnamsema tena. Khaaah!!
 
Nimwage mambo kivipi.
Nitumie elfu 10 ya soda nikupe dawa ya kuacha punyeto.
Madhara ya punyeto
  • Akili inalala
  • Afya inadhorota hasa afya ya viungo
  • Mpiga punyeto hana uwezo wa kuwa kiongozi bora
  • Utachapiwa mke wako kirahisi hata kama una pesa.
-Mikosi itakuandama.
Njoo pm nitumie hata buku 7 tu nikupe dawa upone.
Siuzi dawa ya kuacha punyeto bali nakupa tu kishkaji.
Kwa doctor Mwaka utatoa mpaka laki 2 kuponywa hilo tatizo
Ningelikuwa karibu yako ningelikuzaba kofi [emoji35][emoji35]
 
Kwanza hauwezi kuwa hanith kwa kujichua, pia hauwezi kushindwa kupata watoto sababu ya kujichua
Madhara yanayoambatana na kujichua ni haya
1. Kuathirika kisaikolojia sababu kitendo unachokifanya sio maadili mazuri
2. Kushindwa kuhimili tendo la ndoa kwa mwanamke yaan ukishamwaga cha kwanza tu haurudii tena.
3. Premature ejaculation
4. Kuumwa mgongo na uti wa mgongo
5. Uume kusinyaa yaan unakuwa mdogo kama wa mtoto
Madhara haya si lazima yakutokee yote,
Hali uliyonayo hupitiwa na vijana karibu wote ila wengi huacha mapema sana sasa wewe 27 ni umri mkubwa sana kwa amaana una zaidi ya miaka 10 unajichua

Way forward.
Kwanza hatua ya kutambua kuwa kitendo hicho sio kizuri na kina madhara ndo hatua ya kwanza na nzuri kuanza safari yako mpya
Pili dhamira yako ya kutaka kuacha punyeto ni hatua ya pili na nzuri tu ambayo dereva mkuu ni wewe mwenyewe
Tatu: kamwe usijaribu kuudanganya moyo wako, najua hujanielewa kwamba umeamua kuacha halafu unajiiba maramojamoja unafanya utakuwa unafanya sawa na kunya kinyesi halafu unakila tena
Kama utashindwa kujisimamia kuacha basi tsfuta mshauri nasaha mweleze kila kitu
Cha kufanya sasa
Kwanza usikae peke yako mda mrefu kama unalala peke yako basi tafuta hata rafiki umkaribisha uwe unalala naye
Pili kama unaangalia picha za ngono basi futa zote na ikiwezekana kama smartphone ni kikwazo iuze nunua simu ya kawaida
Tatu anza mazoezi asubuhi na jioni ili kuuchosha mwili na kama umeajiriwa basi jikite zaidi kufanya kazi ya mwajiri wako masaa hata baada ya kazi ili kuuchosha mwili
Nne tafuta mschana na ikiwezekana oa kabisa sababu kwa umri wako vijana wengi ndo huanzisha familia hata mm nlioa na miaka 28 nikiwa kazini mwaka mmoja.
Na mwisho lichukie sana hilo tendo maana ni machukizo kwa mwenyezi Mungu.
Chukua huu ushauri
 
Back
Top Bottom