Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Nimejionea wengi wanadhulumiwa kwa sababu ya ugeni maana ukidai chenji hakupi mkizinguana anaanza kupiga kelele wahuni na malaya wenzake wakijaa lazima uone aibu unasepa na matusi juuImewahi kukutokea[emoji23] halafu uki check wewe ni mgeni maeneo hayo