Rjb mbembe
Member
- Apr 9, 2020
- 7
- 6
Nahitaji kufahamu kwa mtu anayejua bei za safari ya kwenda kisiwa cha Reunion kwa kutumia boti. Natamani nipitie Comoro, Madagascar mpaka Reunion
Msaada wenu juu ya safari hiyo kuhusu bei za nauli mpaka nifike huko, ndege sitaki kutumia.
Msaada wenu juu ya safari hiyo kuhusu bei za nauli mpaka nifike huko, ndege sitaki kutumia.