Unachowaza kwanza nikushauri mbinu hiyo wanatumia sana warundi ili kupata urahisi wa kuingia ufaransa, lakini nakusihi tafuta namna bora ya kwenda usitumie njia za panya ukisema ni mkimbizi pale utapelekwa kuulizwa maswali na wakimbizi kutoka burundi au congo na utahitajika kua na vitambulisho vya nchi hizo sasa kama hauna shida inaanzia hapo, tunashauri kutoka kwenda nje lakini jitahidi kutoka kihalali hakuna kitu chema kama ukiwa umekamilika na makaratasi unayo maana madhira wanayopitia wahamiaji haramu ni makubwa sana kupita kiasi