Ni kweli besti. Re union na Mayotte ni ufaransa. French overseas territories kama, New Caledonia, Tahiti (French Polynesia) wallis and Futuna pacific. Pamoja Martinique na St Barts, Guadalupe, french Guiana carreban. Hivi ni badhi tu.Ni ufaransa hapo. Ingekuwa hivyo basi kisiwa kingejaa.
Hii Martinique na Guadalupe ndo kwa asili ya Thiery henry, Anelka, Wiltord sylvain, Anthony Martial. Yani ni waafrika lakini mabaguz kichiz
Kuingia huko lazima uwe na Schengen visa. Ukiingia kiholela ukaomba ukimbizi utapewa hifadhi kwa mda wakishughulikia case yako
Wengi kutoka Rwanda, Congo, Nigeria 2010 kurudi chini walipata hifadhi ya uki mbizi. Wakatai huo ilikuwa rahis hamna fingerprints. Ila sasa ni kugumu.
Navifaham vema visiwa vya Mayotte na Reunion. Re union kuna mashamba mengi sana ya miwa.