Rjb mbembe
Member
- Apr 9, 2020
- 7
- 6
90 days hakuna viza ni entry tu.Braza, Reunion ipo chini ya Ufaransa umejiandaa vizuri na vielelezo vingine vya Visa?
Kk najuwa lkn mm natak nikafte lufe uko natak niende kiujanja tu nipitie nchi jirani mpk nitimbe lkn sjaelewa njia vzr ndomn nlikuwa naomb msaada anielekeze jins yakutengeneza saffar yanguReunion Embassy in Dar es Salaam ; Address. Ali Hassan Mwinyi Road /Angle Kulimani Road P.O. box 2349 Dar es Salam Dar es Salaam Tanzania ; Phone. +255-22-219-88- ...
Braza, Reunion ipo chini ya Ufaransa umejiandaa vizuri na vielelezo vingine vya Vis
Unahitaji ushauri nasaha, unachowaza wala hakina uhalisia, hivyo visiwa alivyonunuwa Mfaransa ukatafute maisha yepi? wafaransa wenyewe wamejaa roho mbaya tu na ufuska.Bro mm staki visa natak nkifika nisem mm mkimbizi tu ndomn ntak niende comoro kisha Madagascar mpk nifike uko
wamejaa roho mbaya tu na ufuska.
Hatari sana chief, chonga mtumbwi laki saba, nunua engine ya milioni tatu, malizia na life jacket ya 15,000. Hapo unabakiza misosi tuNahitaji kufahamu kwa mtu anayejua bei za safari ya kwenda kisiwa cha Reunion kwa kutumia boti. Natamani nipitie Comoro, Madagascar mpaka Reunion
Msaada wenu juu ya safari hiyo kuhusu bei za nauli mpaka nifike huko, ndege sitaki kutumia.
Nacheka kama mazuri!Hatari sana chief, chonga mtumbwi laki saba, nunua engine ya milioni tatu, malizia na life jacket ya 15,000. Hapo unabakiza misosi tu
Seychelles ni kisiwa watu wanakwenda Vacation, na siyo kutafuta maisha.Mi nilitaka kwenda kisiwa Cha seychelles kipo hapahapa East Africa ila mambo yakawa mengi vikwazo kibao nikaacha
Kama hujitajiki kuwa na visa, kwanini uingie kimagumashi?Kk najuwa lkn mm natak nikafte lufe uko natak niende kiujanja tu nipitie nchi jirani mpk nitimbe lkn sjaelewa njia vzr ndomn nlikuwa naomb msaada anielekeze jins yakutengeneza saffar yangu
Wanaume kama mabinti, mwache kijana apeleke ze mpododo kwa mabeberuUnahitaji ushauri nasaha, unachowaza wala hakina uhalisia, hivyo visiwa alivyonunuwa Mfaransa ukatafute maisha yepi? wafaransa wenyewe wamejaa roho mbaya tu na ufuska.
Wakati wengine wako vacation Kuna wengine wako kazin unatakiwa ulijue hilo kabla ya kujibuSeychelles ni kisiwa watu wanakwenda Vacation, na siyo kutafuta maisha.
Haya mambo inabidi uwe well informed.