Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Siyo hivyo unavyofikiri wewe, kwani Tanzania na kwenye hicho kisiwa unadhani fursa nyingi ziko wapi?Wakati wengine wako vacation Kuna wengine wako kazin unatakiwa ulijue hilo kabla ya kujibu
Siyo sahihi, update informations zako.90 days hakuna viza ni entry tu.
Mtoa mada unafamilia? Mbona naona unaweka rehani maisha yako?
Shukran kk nimekuelewaUnachowaza kwanza nikushauri mbinu hiyo wanatumia sana warundi ili kupata urahisi wa kuingia ufaransa, lakini nakusihi tafuta namna bora ya kwenda usitumie njia za panya ukisema ni mkimbizi pale utapelekwa kuulizwa maswali na wakimbizi kutoka burundi au congo na utahitajika kua na vitambulisho vya nchi hizo sasa kama hauna shida inaanzia hapo, tunashauri kutoka kwenda nje lakini jitahidi kutoka kihalali hakuna kitu chema kama ukiwa umekamilika na makaratasi unayo maana madhira wanayopitia wahamiaji haramu ni makubwa sana kupita kiasi
Ni ufaransa hapo. Ingekuwa hivyo basi kisiwa kingejaa.90 days hakuna viza ni entry tu.
Kwel kbx nisaidien maelezo jinsi ya kutembea jmn kwakutokea dar kwa boti mpk nifik uko nchi zipi jiran nipitNi ufaransa hapo. Ingekuwa hivyo basi kisiwa kingejaa.
Nenda Mayotte. Kama wewe unajua lingala jifanye unatokea congo kule kwenye vita.Wacongo na Warundi wengi wanakwenda kwa boti kama wakimbizi.Ila kama upo vizuri Bongo baki tu bongo.Kwel kbx nisaidien maelezo jinsi ya kutembea jmn kwakutokea dar kwa boti mpk nifik uko nchi zipi jiran nipit
Kwahiyo kwenda Reunion unatumia Shenghen viza?Ni ufaransa hapo. Ingekuwa hivyo basi kisiwa kingejaa.
Yap. Ni ufaransa hapo.Kwahiyo kwenda Reunion unatumia Shenghen viza?
No! Shengen visa not applicable to these colonies.Yap. Ni ufaransa hapo.
La réunion siyo colony bali ni Ufaransa hapo tena ipo ndani ya les départements d'outre mer.Yaani ni mikoa ya Ufaransa kuna La Réunion,La Guadeloupe, Martinique, Mayotte na La Guyane .Zinaitwa DOM.Hawa wazawa wa hivyo visiwa ni wafaransa kabisa. Na kura za Rais wanapiga uchaguzi Ufaransa.No! Shengen visa not applicable to these colonies.
Mbona huwa nakuona una upeo ila kwa hili unaniangusha.La réunion siyo colony bali ni Ufaransa hapo tena ipo ndani ya les départements d'outre mer.Yaani ni mikoa ya Ufaransa kuna La Réunion,La Guadeloupe, Martinique, Mayotte na La Guyane .Zinaitwa DOM.Hawa wazawa wa hivyo visiwa ni wafaransa kabisa. Na kura za Rais wanapiga uchaguzi Ufaransa.
ulishawahi kusafiri kwa njia ya maji mkuu?Bro mm staki visa natak nkifika nisem mm mkimbizi tu ndomn ntak niende comoro kisha Madagascar mpk nifike uko
Pole sana.Hivyo visiwa ni wilaya za Ufaransa. Ukiwa na visa ya Schengen unaingia hivyo visiwa pia.Wacongo/warundi wengi tu wapo Mayotte kama wakimbizi na wakipata papers wengi wao wanakwenda métropole yaani France yenyewe ya ulaya.Wacomoro wengi wanakwenda kuzalia Mayotte ili.watoto wao wakifikisha 18 yrs old wanakuwa wafaransa. Kule Guyane pia Wabrasil wengi wanakwenda zalia huko ili watoto wao wawe wafaransa at their 18 yrs old.Mbona huwa nakuona una upeo ila kwa hili unaniangusha.
Department overseas tangu lini ikawa ni Ufaransa?
Ingekuwa hivyo hivyo visiwa so ndio vingekuwa shortcut ya kuingia Paris?
Department overseas za Ufaransa vikiwemo hivyo visiwa vya Reunion siyo part of Shenghen, Reunion wana ubalozi wao Dar es salaam na Ufaransa INA ubalozi wake.
Inawezekana ukaamini unajuwa kumbe hujui kitu Reunion ni viza on arrival na siyo Shenghen viza.Pole sana.Hivyo visiwa ni wilaya za Ufaransa. Ukiwa na visa ya Schengen unaingia hivyo visiwa pia.Wacongo/warundi wengi tu wapo Mayotte kama wakimbizi na wakipata papers wengi wao wanakwenda métropole yaani France yenyewe ya ulaya.Wacomoro wengi wanakwenda kuzalia Mayotte ili.watoto wao wakifikisha 18 yrs old wanakuwa wafaransa. Kule Guyane pia Wabrasil wengi wanakwenda zalia huko ili watoto wao wawe wafaransa at their 18 yrs old.
Kama Reunion ni Ufaransa na Ufaransa ni part ya.Schengen .Why Reunion isiwe Schengen.Eti visa on arrival 🤣Inawezekana ukaamini unajuwa kumbe hujui kitu Reunion ni viza on arrival na siyo Shenghen viza.
Reunion siyo part of Shenghen ni overseas department ya Ufaransa, kama huwezi kujifunza vitu vidogo kama hivi na kuelewa basi siyo langu, ni tatizo lako.