princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
ni heri hivyo kuliko vitone hiviSasa c kawaida Kilamwezi ulitaka zisitoke iliiweje
Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni heri hivyo kuliko vitone hiviSasa c kawaida Kilamwezi ulitaka zisitoke iliiweje
Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
Upo vzr sasa unataka zitoke km maji ya bomba bovuni heri hivyo kuliko vitone hivi
ndioUpo vzr sasa unataka zitoke km maji ya bomba bovu
inaumiza mno mno !i can feel u !na mbaya zaid huna msaada!ila pambana tu ikiwezekana omba msaada wasiliana na mods wakupe maelezo walau tujichange!Asante..
Yani nna matatizo ambayo natembea,navaa napendeza nacheka na hata huwezi dhani nna tatizo..
ila inside [emoji22] i am burning
pole sana,bora wewe hujapata, mm mwaka wa 2 huu....
yani inatoka kutwa nzima matone matano labda...
naona bora ww haitoki kabisa
dawa ya hyo ni kupata ujauzito.Yani napata hedhi kila mwezi, lakini sasa maumivu nnayopata acha tu..
Naumwa nyonga ,hips ,miguu inauma sana yani humu kwenye maungia na misuli inauma
chini ya kitovu ndio panauma kama kuna kidonda..
halafu inatoka kidogo sana... yani kutwa nzima ni kama matone 10 hivi pamoja na maumivu yote hayo...
yani hata nikisema nivae pedi Siku5 haijai
hupati na kweli !pole sana,niliskia ukiwa na hormonal imbalance hata mtoto inakua ngumu kupata.
Anavuja mavi mkuuYaani unavuja kila siku damu?
Amshukuru blazameni Dr kigwangala maana hii ishu angekuwepo Dr mwaka angekuingiza vidole mpaka ukomeMuone au subiri ushauri wa gynecologist nyingine zitakua ramli nyegeshi
Fanya uzae kama badomm nazipata ila kiuno kinauma miguu yani misuli kwanzia kiunoni kushuka chini inauma balaa...hapo chini ya kitovu ndio hata hapaelezeki ni kama kuna kidonda kikubwa
Aisee kwa jinsi ulivyo elezea nimekuhurumia kwakweli. Pole sana bhana. Hilo tatizo alikuwa nalo na bimdash wangu alikuwa ana hangaika sana.Yani napata hedhi kila mwezi, lakini sasa maumivu nnayopata acha tu..
Naumwa nyonga ,hips ,miguu inauma sana yani humu kwenye maungia na misuli inauma
chini ya kitovu ndio panauma kama kuna kidonda..
halafu inatoka kidogo sana... yani kutwa nzima ni kama matone 10 hivi pamoja na maumivu yote hayo...
yani hata nikisema nivae pedi Siku5 haijai
Sidhani kama kuna njia nyingine ya kutibu zaidi ya operation. mimba kutunga nje ya kizazi ni risk pia kwa mama...solution ni operation tuuMimi mke wangu baada ya kuwa na maumivu makali ameenda kufanya ultra sound na ameambiwa ame conceive ila mimba imetunga nje ya mfuko wa kizazi. Naombeni msaada wa mawazo nini tufanye jamani tafadhali. Na mke wangu anaumia sana kwa hayo maumivu, dr aliyefanya hyo ultra sound amesema inabidi ifanyike operation. Sasa naombeni mnisaidie kama kuna njia nyingine ya kutibu bila hyo operation. Pole sana mleta mada naamini kuna wajuzi au wenye uzoefu na hlo tatzo na watatoa michango chanya
Duuu naamini Mungu atatusaidia, asante sana ndugu!Sidhani kama kuna njia nyingine ya kutibu zaidi ya operation. mimba kutunga nje ya kizazi ni risk pia kwa mama...solution ni operation tuu
sijui hata kuwasiliana mkuu na hao moderator[emoji19]inaumiza mno mno !i can feel u !na mbaya zaid huna msaada!ila pambana tu ikiwezekana omba msaada wasiliana na mods wakupe maelezo walau tujichange!
asante sanapole sana,
naupataje?dawa ya hyo ni kupata ujauzito.