Msaada: Sijapata hedhi toka Oktoba 30

Msaada: Sijapata hedhi toka Oktoba 30

Asante..
Yani nna matatizo ambayo natembea,navaa napendeza nacheka na hata huwezi dhani nna tatizo..
ila inside [emoji22] i am burning
inaumiza mno mno !i can feel u !na mbaya zaid huna msaada!ila pambana tu ikiwezekana omba msaada wasiliana na mods wakupe maelezo walau tujichange!
 
pole sana,niliskia ukiwa na hormonal imbalance hata mtoto inakua ngumu kupata.
 
Yani napata hedhi kila mwezi, lakini sasa maumivu nnayopata acha tu..

Naumwa nyonga ,hips ,miguu inauma sana yani humu kwenye maungia na misuli inauma

chini ya kitovu ndio panauma kama kuna kidonda..
halafu inatoka kidogo sana... yani kutwa nzima ni kama matone 10 hivi pamoja na maumivu yote hayo...
yani hata nikisema nivae pedi Siku5 haijai
dawa ya hyo ni kupata ujauzito.
 
Aisee kwa jinsi ulivyo elezea nimekuhurumia kwakweli. Pole sana bhana. Hilo tatizo alikuwa nalo na bimdash wangu alikuwa ana hangaika sana.
 
Mimi mke wangu baada ya kuwa na maumivu makali ameenda kufanya ultra sound na ameambiwa ame conceive ila mimba imetunga nje ya mfuko wa kizazi. Naombeni msaada wa mawazo nini tufanye jamani tafadhali. Na mke wangu anaumia sana kwa hayo maumivu, dr aliyefanya hyo ultra sound amesema inabidi ifanyike operation. Sasa naombeni mnisaidie kama kuna njia nyingine ya kutibu bila hyo operation. Pole sana mleta mada naamini kuna wajuzi au wenye uzoefu na hlo tatzo na watatoa michango chanya
 
Sidhani kama kuna njia nyingine ya kutibu zaidi ya operation. mimba kutunga nje ya kizazi ni risk pia kwa mama...solution ni operation tuu
 
Duuu naamini Mungu atatusaidia, asante sana ndugu!
 
DAAH!!!! Hivi kumbe dada zetu ndo wanapitiaga hizo mambo za noma hivyoo..??!!! Pole sana ase
 
Back
Top Bottom