Msaada: Sijapata hedhi toka Oktoba 30

Msaada: Sijapata hedhi toka Oktoba 30

Eeeh mkuu amesema baada ya dawa kumalizika au mara tu tatizo litapoonekana kuongezeka zaidi
Ok mkuu kwanza pole na majukum na pia hongera kwa kua bega kwa bega na wife katika kipind iki cha changamoto

Yes tiba sahihi ni operation(surgery) lakin pia dawa(medication therapy) husaidia pia...
sasa
Ushauri /concern yangu
mwache kwanza wife atumie izo dawa!! methotrexate(MTX) tukiwa tunatumain kile kilicotungwa nje ya kizazi kukoma(to stop from growing and to degenarate),,,sanjari na kupungua kwa maumivu kadiri anavyoendelea kutumia dawa,,,,

baada ya kumaliza kutumia dawa itabid arudi achekiwe tena(ndo maana niiuliza mda au appointment ya kumuona tena daktari.)
kama bado ipo au dawa imesaidia kuiondoa moja kwa moja(ndo tuachotegemea kitokee)
na kama still itakuepo bas njia sahihiitakua nikuiondoa surgically..

lakin cha kuzingatia: kama hali itabadilika,, mauivu kua makali zaid,,joto la mwili kupanda(homa kali),,aukutokwa navitu chini basi muwahi hosptalin haraka (hii ni kama angalizo tu la kua makini sio lazima vitokee)

Mwisho:Tiba uliyopewa ni sahihi zingatia maelekezo usihangaike na tiba zingine zitawapotezea mda!
 
Sawa asante sana ndugu kwa ukarimu wako na ushauri mzuri
 
Habari ndugu zangu.
Mara ya mwisho kuingia siku zangu ni Octoba 30, hadi leo hii December kimya inapita tu siielewi na nimepima UPT sina ujauzito, wakati chuchu zinauma na wajati mwingine timboni najihisi kama nakaribia period lakini hakuna chochote kinachotoka. hali hii inanichanganya,

Kuna rafiki kuniambia yaweza kuwa homon imbalance sasa sijui ni sahihi au la na sijui matibabu yake ni yapi ili niweze kuona ada yangu ya kila mwezi
Kwa mwenye kuelewa naomba unisaidie tafadhali.
umri wako tafadhali!!! (if you need privacy, pm)
 
Hali Hii hawatokea baadhi ya wanawake kutokana na sababu mbalimbali lakin je unatumia means yoyote ya kuzuia mimba??? Kama yes basi io yawez kua sababu je umewah kutoa mimba kwa vidonge cku za karbun (kabla ya last MP??) Kama vyote ivo hapana.unaweza nenda pharmacy ukanunua Pills zinaitwa EVE.zitakusaidia.
 
Mimi mke wangu baada ya kuwa na maumivu makali ameenda kufanya ultra sound na ameambiwa ame conceive ila mimba imetunga nje ya mfuko wa kizazi. Naombeni msaada wa mawazo nini tufanye jamani tafadhali. Na mke wangu anaumia sana kwa hayo maumivu, dr aliyefanya hyo ultra sound amesema inabidi ifanyike operation. Sasa naombeni mnisaidie kama kuna njia nyingine ya kutibu bila hyo operation. Pole sana mleta mada naamini kuna wajuzi au wenye uzoefu na hlo tatzo na watatoa michango chanya
Suluhisho ni operesheni mkuu..ikikaa sana huwa zinamaliza damu kwa mzazi nani hatari pia kwa afya ya mama.
 
hospital nyingi ultra sound haizidi 20000, hivyo ni kipimo nafuu, ni vyema ukapime, na narudia ni vyema ukapime kwa ultra sound..., baada ya kupata majibu ndipo itajulikana nini cha kufanya
nmepima mar2 magomeni wanasema et effect za uti unaandikiwa dawa hazisaidii..

yani mambo vurugu tupu
 
Nenda kapime...huwa inatokea kutokana na mabaliko ya kimazingira au chakula
 
Nenda hospital na uonane na specialist wa magonjwa ya kina mama,.hiyo hali inakera aisee unajikuta unatembea na pads kama unaziuza vile kumbe unajihami lakini mwisho wa siku holaa...
 
tuko pamoja mkuu utatupa mrejesho!!!! na tutajua chakufanya zaidi kua na amani!!!
Ndugu ile ishu kweli kama ulivyojikita ktk kutoa ushauri Wa awali,nilinunua dawa ila mwisho Wa siku nikaona ni vema kusikiza ushauri wa upasuaji. Kwa sasa ameshatoa nyuzi kama wiki mbili hivi anaendelea na kusafisha na kubadili bandeji kila baada ya siku tatu au NNE. Ila nilihangaika sana ile siku,manake nilirudi kwa daktari tuliyeonana nae asubuhi yake na kushauri ifanyike upasuaji tukamkosa. Na alipotafutwa kwa simu na kuelezwa kwamba tumekuja kufanya upasuaji alijibu hawezi kurudi kwa sababu alitushauri asubuhi na hatukumsikiliza hivyo tukatafute hospitali nyingineJapo alituandikia dawa na kutueleza kwamba kukiwa na mabadiliko yoyote muda wowote ule turudi na tumuone yeye.
 
Hongera,endelea na preg test possibly utakuwa umeconceive.
 
bora wewe hujapata, mm mwaka wa 2 huu....
yani inatoka kutwa nzima matone matano labda...

naona bora ww haitoki kabisa
Dalili kuwa una tatizo katika Homoni za kike

1. Kuwa na kitambi cha tumbo la chini
2. Kukosa mtoto kwa muda mrefu
3. Kukosa hamu ya tendo la ndoa lenye kuambatana na maumivu makali
4. Mwili kuwa unauma sana hasa misuli bila sababu ya msingi,kuumwa sana kichwa bila sababu ya msingi
5. Kuwa na ndevu nyingi kupita kiasi sehemu za usoni na kifuani
6. Kuwa na hedhi ambayo haina mpangilio, unaweza kuingia mara mbili hadi tatu kwa mwezi mmoja na unaweza usipate kabisa hata miez 6 hadi mwaka
7. Kuwa na hedhi iliyojaa woga mkubwa sana
8. Kuwa na hedhi yenye kuambatana na kichefu chefu, kuharisha
9. Kuwa na hedhi yenye kuambatana na maumivu makali sana
10. Kuwa na hedhi ya muda mrefu zaidi ya siku 7 unatumia zaidi ya pedi 2

Je kati ya hizi dalili ngapi unahisi unazo
Nataka kufahamu ili
Niendelee kupekuwa kwenye kitabu nikupe tiba nini ukifanya
 
Back
Top Bottom