Kingsman
Member
- Aug 8, 2017
- 84
- 203
Ok mkuu kwanza pole na majukum na pia hongera kwa kua bega kwa bega na wife katika kipind iki cha changamotoEeeh mkuu amesema baada ya dawa kumalizika au mara tu tatizo litapoonekana kuongezeka zaidi
Yes tiba sahihi ni operation(surgery) lakin pia dawa(medication therapy) husaidia pia...
sasa
Ushauri /concern yangu
mwache kwanza wife atumie izo dawa!! methotrexate(MTX) tukiwa tunatumain kile kilicotungwa nje ya kizazi kukoma(to stop from growing and to degenarate),,,sanjari na kupungua kwa maumivu kadiri anavyoendelea kutumia dawa,,,,
baada ya kumaliza kutumia dawa itabid arudi achekiwe tena(ndo maana niiuliza mda au appointment ya kumuona tena daktari.)
kama bado ipo au dawa imesaidia kuiondoa moja kwa moja(ndo tuachotegemea kitokee)
na kama still itakuepo bas njia sahihiitakua nikuiondoa surgically..
lakin cha kuzingatia: kama hali itabadilika,, mauivu kua makali zaid,,joto la mwili kupanda(homa kali),,aukutokwa navitu chini basi muwahi hosptalin haraka (hii ni kama angalizo tu la kua makini sio lazima vitokee)
Mwisho:Tiba uliyopewa ni sahihi zingatia maelekezo usihangaike na tiba zingine zitawapotezea mda!