Msaada: Simu gani ina rekodi sauti vizuri ambayo naweza kuitumia ku record content you tube?

TSh 130,000. Simu charging port typeC???

No wonder mnatapeliwa sana
 
Laki na 30 ila Mimi sihitaji camera nahitaji audio. Ninacho kizungumzia ni kuingia kwenye simu kwenye sehemu ya audio recording na kujirekodi sauti. Sijui kama unanipata vizuri mkuu
Unataka ujireķodi sauti ili uanze kupiga watu. Alisikika mlevi mmoja wa Mwananyamala Manjuju ambae alisapotiwa pia na mkaaza wa Makurunge kwa kivuzi
 
Bongotunacheza kweli wewe unacheza hilo fujo lako la 130K ndio utapata kitu kizuri cha high quality .Wabongo bwana dah cjui umezaliwa wapi cjui uko mkoa gani unaoneka bonge la mshamba na unatka kukurupuka tu ili na wewe uonakane unafanya iyo audio 130K watu wamombasa wanasema machezo ni khasara hebu tafuta pesa ufanye pesa at list una 500k unaweza kidogooo ukajisikia eti 2017 nilipata simu nzuriii.
 
Usiogope mkuu naweza pata kwa chini ya hela hiyo mkuu.
 
Kama umesoma vizuri uzi wangu nimesema mwaka 2017 nili nunua Mlimani City simu ya elfu 80 na ilikuwa ina rekodi sauti vizuri tu.


Kingine nimesema hii simu ya mkopo nimepigwa kwa sababu hata sauti kuwasiliana na mtu hatusikilizani vizuri.
Anyway kila la kheri mkuu.
 
Watanzania wanajali content sio presentation yake na ukitaka kujua angalia content za vichekesho. Nyingi zipo natural tu, hakuna lighting wala sauti nzuri Ila watu wanajali kusikia, kuona na kucheka. So ni kawaida sana
Ni kweli unachosema .... watanzania ndio tushajizoesha hivyo...kwa mfano huo huo angalia comedy za wenzetu akina King Back Anwar Leon wa marekani vitu viko Systematic yani investment sasa sisi tushaozea hizo basi wacha tuendelee hivyo hivyo
 
Well said....[emoji119][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…