Msaada: Sioni tena umuhimu wa kuishi na kiumbe anayeitwa mwanamke

Msaada: Sioni tena umuhimu wa kuishi na kiumbe anayeitwa mwanamke

Na sio tu mwanamke, bali sioni kabisa umuhimu wa kujihusisha kwenye suala zima linaloitwa ngono, iwe ya aina yoyote ile

Mwaka jana nilianza kama masihara hivi, nilikuwa kataa ndoa tena mwanachama kindaki ndaki, baada ya hapo nikasajiliwa kwenye chama cha kataa genye, hapo nikaamua rasmi kuachana na mapenzi na kujaribu mambo mengine ya msingi kama vile betting e.t.c

Miezi kadhaa ikiyopita nilikuwa najishtukia kuwa tofauti na binadamu wengine, lakini kwa sasa hata kule kujishtukia hakupo tena. Yaani akili yangu haina taswira ya kitu kinachoitwa ngono, nilikuwa mwanachama wa chaputa kwa muda mrefu sana, ikafikia hatua nikawa sitekelezi kabisa matakwa ya chama kama itakiwavyo, na huko nako nikafukuzwa. Sasa hivi nimekuwa mfano wa robot, hata umchukue binti unifungie chumbani nikiwa naye, usishangae ukarudi asubuhi ukakuta no mtanange wowote ulioputiwa, yaani ni mara mia tu nilale kwa kweli

Hili kweli sio tatizo? Kwani kuna ulazima wa kufanya mapenzi duniani? Kama ni muhimu naombeni msaada wa kisaikolojia

NB: Viumbe nilivyovichukulia ni mashetani, kwa sasa hata kwenye ubongo wangu vimefutika kabisaaa, ubongo wangu unaniambia Kitu mapenzi hakipo tena, wanawake hawapo kabisa
Umejaribu kuishi na mwanaume mkuu?
 
Sasa unataka msaada wa nini Mkuu na uko right track. Wewe enjoy chochote kile unachoenjoy!
 
Kuwa tu muwazi hutaki mwanamke bali unataka kupumuliwa/umeanza kupumuliwa nyuma
 
Kuwa tu muwazi hutaki mwanamke bali unataka kupumuliwa/umeanza kupumuliwa nyuma
Wajaaa mmewazaa mbaliii sanaa, Woiiiiiuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dunia haiwezi kumhurumia mwanaume asiye na pesa, asiye na fani, asiye na muonekano wa mvuto kwa jinsia ke.Hawa wanawake atawachukia sana, siongezi neno nimeeleweka sana.
 
Back
Top Bottom